Monday, March 23, 2009

Moto Bagamoyo katika Picha






Wadau, zimamoto Dar ilienda Bagamoyo kuzima moto. Sasa nauliza kama moto ungetokea Dar wakati huo huo ingekuaje?

Kuona picha zaidi tembelea Kaka Michuzi.

2 comments:

Anonymous said...

AIBU! AIBU!

Anonymous said...

Uzimaji ndo huo kuzima kwa ndoo? Kweli Bongo Tambarare!