Sunday, March 08, 2009

Siku ya Kimataifa ya Akina Mama


Leo tunaahimisha siku ya akina mama duniani! Kwa vile wanaume bado hawatuthamini napendekeza akina mama wote kwa siku ya leo tu wakubali kunyima wanaume wao huduma ya kawaida. Yaani kupika, kufua, mapenzi, kuwachotea maji, kupokea wageni n.k. Hapo wanaume wataelewa thamani yetu!

********************************************************************************
Leo pia nakumbuka wimbo maarufu wa Helen Reddy. Inaitwa ' I am Woman' (Mimi ni Mwanamke). Huo wimbo unawapa nguvu akina mama wanaoisikia!

I Am Woman

-Artist: Helen Reddy from "Helen Reddy's Greatest Hits": EMI ST 11467
-peak Billboard position # 1 for 1 week in 1972
-Words and Music by Helen Reddy and Ray Burton

I am woman, hear me roar
In numbers too big to ignore
And I know too much to go back an' pretend
'cause I've heard it all before
And I've been down there on the floor
No one's ever gonna keep me down again

CHORUS
Oh yes I am wise
But it's wisdom born of pain
Yes, I've paid the price
But look how much I gained
If I have to, I can do anything
I am strong (strong)
I am invincible (invincible)
I am woman

You can bend but never break me
'cause it only serves to make me
More determined to achieve my final goal
And I come back even stronger
Not a novice any longer
'cause you've deepened the conviction in my soul

CHORUS

I am woman watch me grow
See me standing toe to toe
As I spread my lovin' arms across the land
But I'm still an embryo
With a long long way to go
Until I make my brother understand

Oh yes I am wise
But it's wisdom born of pain
Yes, I've paid the price
But look how much I gained
If I have to I can face anything
I am strong (strong)
I am invincible (invincible)
I am woman
Oh, I am woman
I am invincible
I am strong

FADE
I am woman
I am invincible
I am strong
I am woman


5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

akina mama oyeee

Anonymous said...

Akina Mama JUU JUU JUU ZAIDI!

Anonymous said...

we anti chemi ushauri gani huo kwa wenzio?na we anko umemfanyia hivo?hakynani vile itakula kwao nakwambia!afu bora wasitishe huduma zote sio hiyo ya pili,kudadadeki!tutatafuta ya muda mfupi hapo jirani halafu yatima waongezeke bure!!huu ushauri wanawake msiufuate,msije sema sikuwaonya!

Anonymous said...

Ninathamini sana wakina Mama, maana nipo hivi nilivyo kwa sababu ya mchangu wa mama yangu asiliamia 89, lakini ushauri wa Anti Chemi kidogo ni kama wa mtu ambaye maetumia madawa ya kulevya, maana hana mpango wa kujenga au kutibu, kumbe nilizania wamo kichwani kumbe unahitajia pschologist/therapist kukusaidia kupona donda la uhusiano. Pole Anti. Wakina Mama oyeeeeeeeee...ushauri anti ziiiiiiiiiiiiii

Anonymous said...

kama wenyewe hawajithamini ,nani atawathamini? kauli yako ya kuwakataza kutoa hudumu utawahalibia maisha wezako maana wengi wanafadhiliwa tu na waume zao.