Monday, March 02, 2009

Rais Obama na Ndugu Zake White House

Pichani ni kaka yake Rais Obama, Abongo, Mama yake wa Kambo Mrs. Obama (aliyevaa nguo ya njano) anayekaa Uingereza kwenye nyumba za Council, kulia kabisa ni Mark Ndesanjo, na David Ndesanjo (mama yao ni mzungu aliyezaa na Barack Sr. ). Hebu cheki Mark anavyofanana na rais!

Unaweza kupata habari kamili kwa kubofya hapo chini:

http://www.dailymail.co.uk/news/worldnews/article-1158473/From-Bracknell-Kenya-Washington-First-picture-Obama-British-stepmother-inside-White-House.html

1 comment:

Anonymous said...

najua inasound corny lakini Ndesanjo (whatever the name has been spelled in different articles from google)
ina sound kama jina la kichagga ,ama nimekosea kaka Ndesanjo Macha ?