Baadhi ya wakimbizi kutoka Burundi waliojiunga na kanisa la IGC hivi karibuni
Mchungaji Jessie Stevens kutoka kanisa la Bethel Missionary Baptist Church akiwasalimia wakimbizi waliojiunga na kanisa la IGC.
Hao walikuwa wanakwaya kwenye kanisa huko kambini Bongo. Sasa wanatuburudisha na nyimbo za dini hapa Boston.
Kwaya ya IGC
Wageni kutoka Bethel Missionary Baptist Church wa Wappingers Falls, New York
Baadhi ya wakimbizi waliojiunga na kanisa
Mchungaji wetu, Reverend Jared Mlongecha
Sampuli ya vyakula vilivyotolewa kama zawadi kwa waumini wa IGC. Kila mwaka kanisa la Bethel Missionary Baptist Church inaleta zawadi ya nguo na vyakula na mahitaji mengine kwa ajili ya waumini wa IGC, hasa waliotoka Afrika hivi karibuni.

******************************************************************************
Karibuni kwenye kanisa la International Gospel Church iliyoko, 85 Crescent Ave. huko Chelsea, Massachusetts. Misa ya jumapili inaanza saa nne asubuhi (10:00am). Misa ni ya Kiswahili na inatafsiriwa katika Kiingereza.
Hivi karibuni tumepata waumini wapya, hasa ni wakimbizi kutoka Burundi waliokuwa kwenye kambi muda mrefu huko Tanzania. Tunawaumini kutoka nchi mbalimbali, baadhi ya nchi ni USA, Haiti, Sudan, Korea, Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda.
Wote Mnakaribishwa!
3 comments:
Vipi kanisa la Rev. Doughal (hubby!!) umehama?
dada chem, mimi nataka kjiunga na hilo kanisa kwa hapa tanzania i wapi mko?
Kwa bahati mbaya kwa sasa hakuna Branch ya International Gospel Church Tanzania.
Post a Comment