Monday, January 28, 2008

Siku ilivyokuwa mbaya Ofisini!

kama ulidhani ulikuwa na siku mbaya kazini wacheki hawa!


http://glumbert.com/wii/view.php?name=baddayoffice

6 comments:

Anonymous said...

Da Chemi,

Asante sana.
Tangu huu mwaka uanze nilikuwa sajacheka kama nilivyocheka leo baada ya kuiona hii video. Maana kila kituko kinafurahisha.

Shakran!

Far East.

Anonymous said...

Hii kama iko kwenye CD, na kama inawezekana, nitaomba moja au nielekeze ninaweza kuipataje. Far East... (rdor7819@hotmail.com)

Anonymous said...

DAYMN! Huyo jamaa alikuwa anavuta sigara chooni halafu kapulizwa na fire extinguisher! LOL!

Anonymous said...

Ni bora kuondoa stresses kwa stail hiyo manake kuna instances ambazo watu kama hawa uamua kufanya mass killings na ku-commit suiccide.

KKMie said...

Bora sisi wengine (wanawake) ukiwa na siku mbaya unakimbilia chooni unalia weee baada ya hapo unakuwa okay.

Nimecheka!

Anonymous said...

Dah´Dada chemi pleeez mbavu zangu...
Yaani nimecheka mpaka majira makuja kuniangalia if I am ok or not! Thank you for sharing!