Friday, February 29, 2008

Jina la 'Tanganyika'

Wanawake enzi za Tanganyika

Nimeona historia ya jina la Tanganyika hapa: Je, hayo maelezo ya kupatikana kwa jina, Tanganyika ni kweli. Mimi nilikuwa nadhania 'nyika' ni msitu. Au?




It is said that the mainland portion of what is now Tanzania was named by a British civil servant in 1920, from the Swahili words tanga (sail) and nyika (bright arid plain). Thus what was known formerly as German East Africa became Tanganyika Territory. In 1964, Tanganyika was joined with Zanzibar, an offshore archipelago of islands, to form the present United Republic of Tanzania.

4 comments:

Anonymous said...

Dada chemi, ahsante kwa kunielewa na kunikubalia ombi langu kwa kuiondowa ile picha (ya mtu anaejikuna makalio yake).

Nimefurahi sababu umeonesha wewe ni mstaarabu sana, hata mie nisingefurahi kufkia hatuwa yakuzalilisha kule "theutamu", mtu mwenye heshima zako kama wewe.

Da chemi hii blog yako, amini wanatembelea watu wakila aina, watu wazima,vijana, watoto, wanawake, wanaume, wakristo, waislam,na hata wasio na dini, watanzania walio ndani na nje ya nchi yetu na hata wasio wa tz, kwa hiyo endelea kuwa makini katika ku edit post zako ili usiwakwaze wala kuwadhililisha kundi lolote katika hayo.

Da chemi we ni mwandishi wasiku nyingi hukuanza leo, tena mwenye kipaji cha pekee, nakuamini kabisa unahabari nyingi tena constructive katika jamii, kuanzia burudani, siasa mpaka uchumi: Naomba sisi tuendelee kujichotea elimu kutoka kwako (kwenye chem chem isiokauka), kama ntakufananisha na mvua basi wewe ni masika blogs nyengine nikama mvua za vuli tu, au kama ni vyanzo vya maji basi wewe ni bahari wengine (blogs) nikama vidimbwi vya msimu tu ambavyo ikija kiangazi hukauka.

Mungu alie hai akutangulie katika kazi zako za kila siku.

Big up Da-chemi, silali bila ya kuingia hapa. All the best

Anonymous said...

Hivyo ni vilemba hasa!

Anonymous said...

Hapo ni Tanganyika. Ona yule mama kaweka mkoba chini mbali na yeye, hana wasiwasi na vibaka.

Anonymous said...

Ni kweli hiyo maana, nyika si msitu ila ni uwanda kama wa serengeti vile, au plain. Ndio maana kuna msemo wa alitembea msitu na nyika (mbuga).