
Sasa jamani, hiyo khanga ilivyokunjwa. Picha ya Bush imefichwa lakini maneno WE CHERISH DEMOCRACY ni prominent. Hivi aliamua kuikunja hivyo kusudi picha ya Bushi isionenekane? Hapa Marekani watu walikuwa wanacheka kweli hizo khanga wanasema picha ya Bush iko kwenye butts (matako) na bosoms (vifua) vya wanawake wa kiafrika. Hawaelewi utamduni wetu wa khanga.
2 comments:
It's not our problem..hawajui utamaduni wetu,hatuna cha kuwasaidia, wacheke tu!Hata sisi tunacheka mengi tu kuhusu wao.
Mbona hiyo khanga haimechi gauni yake?
Post a Comment