Wednesday, May 13, 2009

Nyumba za Fahari za Mbwa Marekani



Ama kweli wazungu wanapenda mbwa wao. Hebu cheki hizi nyumba ambazo mbwa wamejengewa.
Mnaweza kuona picha zaidi hapa:

6 comments:

Anonymous said...

Hata sikubali! Mbwa anajengewa nyumba ina umeme, maji na air conditioning! Ebu ilo jibwa linipishe mimi nikae hapo!

Anonymous said...

DOH!

Anonymous said...

Ama kweli PESA ina jeuri.

Unknown said...

We! wazungu wanathamani maisha ya mbwa wao kuliko ya ndugu zao. Wanaweza fanya kila kiwezekanacho kunusuru majibwa zao ila wenzao watawaachia riziki tu.

Anonymous said...

Kwa kweli watu wangeishi ndani ya hizo nyumba Bongo. Umeme na maji!

MOSONGA RAPHAEL said...

kuna mzungu mmoja na mkewe wamezama maji (mtoni) na kupoteza maisha kwa kutaka kuokoa mbwa wao na wakamwacha mtoto mchanga ukingoni mwa mto, wiki iliyopita UK.