Sunday, May 31, 2009

Zilipendwa - Going Back to My Roots na Odyssey

5 comments:

Anonymous said...

Daaah! Yaani asante Da Chemi! Nilikuwa nimeusahau huo wimbo. Kweli leo nimekumbuka good times.

Anonymous said...

Shukrani Da Chemi!

Anonymous said...

duu hii sasa kufurumaana kipindi hicho uongo tuache mimi na ujanja wangu wa muziki nilikuwa mdogo lakini wimbo huu ulinitajirisha, nilikuwa nachukua kidogodogo kutoka kwa masista wakitoroka kwenda disco ili niwafungulie mlango wakirudi usiku.

Anonymous said...

Unajua nini Da chemi sina zaidi bali nakupa 5 nimekumbuka ymca 1982

Paratransit software said...

We are next-generation providers of integrated passenger scheduling solutions, covering all

aspects of Vehicle and Passenger Scheduling, Routing, Vehicle Tracking and Mobile

Communications and the partner of choice for many of today's leading commercial companies

and government organizations.
Demand responsive transport