
Wadau mnamkumbuka huyo jamaa? Alikuwa moja wa contestants wa American Idol. Paula Abdul almwambia aende akanyofoe hizo nywele kwenye kifua. Alitoka alirudi kifua peupe. Hawakumchagua! LOL!
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
3 comments:
KHAA! Wazungu hawana haya! hebu cheki manywele kama sokwe!
Hasikii baridi kweli maana yuko uchi.
Shoga tu huyo, wako wengi sana Marekani na Ulaya
Post a Comment