Ukisikia vituko basi ongeza na hii! Huyo mama, Michelle Allen, wa Middletown Ohio, kajifanya ng'ombe. Nasema kajifanya lakini inaelekea alidhania ni ng'ombe kabisa.
Alikimbiza watoto huko kwao na hata kukojoa kwenye baraza la nyumba ya jirani yake!
Mara akaingia barabarani na kusabisha magari yasimame. Si ajabu walikuwa wanamshangaa.
Polisi wanasema walipomkamata alikuwa ananuka pombe.
Alifikishwa mahakamani leo asubuhi hivyo hivyo kama alivyo pichani.
Kwa habari zaidi someni:
4 comments:
chemi umenivunja mbavu hapa!!!
Hii kali!
huyo ni mwanamke au mwanamme? mbona sura ni ya kiume? duh kuna wanawake wa aina hiyo huko usa. havutii kabisa
Kumbe marekani kuna vichaa. Huyo mwanamke mbaayaaa! Aisei!
Post a Comment