Kweli binadamu hawana shukurani. Yaani Tanzania ilikuwa mstari wa mbele katikakupigania uhuru watu wa Afrika Kusini. Lakini sasa wanaua wageni kutoka nchi za Afrika wanaoishi kule.
Nimesikitika sana kusoma leo kuwa waTanzania wawili kutoka Zanzibar waliuliwa huko kwa kupigwa risasi. Kisa eti ni waTanzania.
Mola alaze roho zao mahala pema peponi. Amin.
************************************************************************
Kutoka ippmedia.com
Zanzibaris killed in SA foreigner attacks
2008-09-15
By Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Two Zanzibaris were reportedly killed in Port Elizabeth, South Africa last week in attacks linked to a spate of `xenophobic` incidents against foreigners, police here confirmed yesterday.
The Regional Police Commander for Mjini Magharibi Bakari Khatibu Shabani named those who were killed as Mzee Mussa Makungu (24) and Rajab Suleiman Mrisho (27) all from Jan?gombe in Unguja.
The late Makungu went to South Africa to look for employment, while Mrisho had already been working in the oil industry there for over eight years.
The two were buried in Unguja yesterday, Makungu at Shakani village and Mrisho at Kiboje.
Makungu`s uncle Ali Othman Ali said in an interview yesterday that they received reports about his death from Tanzanians living in South Africa.
``Makungu left Zanzibar six months ago to join his friend Mrisho, who has been in South Africa for eight years,`` he said.
Ali said they were informed that their relative was shot twice in head, while Mrisho was shot in his neck by unidentified people on September 4, this year.
Rajab Suleiman Mrisho, a brother of Mrisho, said they received reports about his death through Tanzanians living in Cape Town.
Some months ago, groups of South Africans, particularly youths, went on the rampage, attacking foreigners working in South Africa, and blaming them for taking up jobs meant for them.
SOURCE: Guardian
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
INNALILAHI WAINNA ILLAHIM RAJIUN,M,UNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
Inasikitisha kusikia kuwa waafrika wenzetu ndio wanafanya hivyo,haya basi na huo mpira wa dunia 2010 na hali hio ya kuuwana unazani nani atakwenda ?maana mamilioni ya watu wanataka kuona mpira sasa na hao wenyeji ndio makatilihuo mpira utachezeka tena huko?
Post a Comment