Monday, September 01, 2008

Happy Labor Day!




Leo ni sikukuu ya wafanyakazi Marekani. Wadau mliopo Marekani nawatakia siku njema ya mapumziko.

1 comment:

Anonymous said...

Habari gani Chemi! Ninaswali, kwa vile ninaona unafanya mengi ili kueneza lugha hii yetu ya Kiswahili
hebu niambie tafadhali, ninaweza kununua sinema za kiswahili vipi? Uwezo wangu nikupitia kwa interneti kwa vile siko huko nyumbani. Ni mie dada.