Friday, November 21, 2008

Breaking News - Kitengo cha UKIMWI Muhimibili Kinaungua Moto!

Kutoka: http://mtwarakumekucha.blogspot.com/2008/11/kitengo-cha-ukimwi-muhimbili-chateketea.html

Kuna taarifa iliyosambaa jijini Dar kuwa jengo la kitengo cha ukimwi pamoja na kliniki yao vinateketea kwa moto. Habari zaidi zitaendelea kumiminika baadae. Moto huo umeanzia stoo.

2 comments:

Faustine said...

Sahihisho kidogo! Kilichoungua ni ofisi ya mradi wa UKIMWI ya MUCHS-Harvard. Ofisi hii iko mtaa wa Mindu mbali kidogo na Hospitali ya Muhimbili.
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/

Chemi Che-Mponda said...

Dr. Faustine, asante sana kwa update. Endelea kutupasha kuhusu tukio hilo.