Thursday, November 06, 2008

Wamtoa Padre Kiazi Matakoni!


Huko Uingereza kuna padre katolewa kiazi matakoni wikiendi hii iliyopita. Ni kweli kabisa.

Padre alivyofika hospitalini (Sheffield Northern General Hospital) alidai kuwa eti alikuwa anatundika mapazia kwenye dirisha halafu kaanguka kwenye meza na kukalia hicho kiazi! Eti alikuwa uchi wakati anatundika hizo pazia! Khaa!
Wakati iko huko aliweza kwenda haja kubwa kweli? Au, ilikuwa kama kizibo ndo maana aliamua kwenda hospitalini.

Nauliza huyo padre alikuwa anafanya nini na hiyo kiazi kweli? Duniani kuna mambo.

7 comments:

Anonymous said...

Ashakum si matusi !
Ungeandika matakoni da Chemi,Haya mambo ya kundunu ndo yale yale ya utamu !
Good day

Yasinta Ngonyani said...

kazi ipo kiazi matakoni alikimeza bila kutafuna au?

Anonymous said...

Huyo lazima alikuwa kwenye sex game. Kuna mtu alimtia hiyo kiazi!

Anonymous said...

Kwa kweli neno mkundu si matusi kwani hata mashuleni neno halisi ni mkundu na si tako. Mkundu ni anus in english, so hakuwa amekosea tangu mwanzo. Tako ni tofauti kwani tako ni buttocks ambapo ni tofauti na mkundu, so jaribuni kulichukulia hili kama kiungo cha mwili na si matusi.

Anonymous said...

Hehehheehehehee!

Siwezi hata kusema neno, alikuwa anatundika mapazia wapi bila ngua na madirisha yalikuwa wazi eeheee! Ohh omg!!

Leo da Chemi umeamua kututoa machozi kwa kicheko! lol!

Anonymous said...

Jamani mpaka hicho kiazi kinapenya kwenye "anus" inakuwaje kuwaje hasa. Maana, mimi hata kujiingiza kidole siwezi, sembuse kiazi?? Huyo padre ni gay, kakosa mwanaume, kaamua kujitia kiazi. Kimepitiliza, kashindwa kukitoa, kaamua kwenda hospitali. Habari ndio hiyo.

Anonymous said...

Kuna shoga aliipaka hicho kiazi siagi na akawa anaitia huko kama bolo. Hajatia mwenyewe huyo. Hiyo hadithi ya pazia ni kichekesho hakuna aliyemwamini.

Mdau

Sheffield