Friday, November 07, 2008

Sura ya Obama Ichongwe Mt. Rushmore!

Na mimi nadhani Barack Obama anastahili nafasi huko Mt. Rushmore. Sura za marais huko ni,
Baba wa Taifa wa Marekani George Washington, Rais Thomas Jefferson, Abraham Lincoln na Theodore Roosevelt.

Picha hii ni asante Photoshop.

5 comments:

Anonymous said...

Pamoja na kuwa shabiki wa Obama lakini ni bado mapema sana kwake kuwa mmoja wa marais mashuhuri Marekani.Dada Chemi inabidi athibitishe katika mandate period na ikiisha ndio tuzungumzie hilo.Hao waliopo kwenye Mt Rushmore waliwekwa pale baada ya kumaliza uatwala wao.

Anonymous said...

hata hajafanya chochote jamani, au kwa sababu ni nusu mweusi?

Anonymous said...

Mimi naona anastahili nafasi. Si raisi mweusi wa kwanza!

Anonymous said...

Ninavyomuona Obama atakuwa mchemshaji sana. Akipata term ya pili ni bahati!

Anonymous said...

Kuchonga pale ni kazi ngumu sana; michongo hiyo iliyoko pale ilichukua miaka kumi na nne. Na kwa sasa hivi hakuna mwamba mwingine wa karibu unaoweza kuchukua sura ya rais, itabidi wabomoe mwamba mpya upande wa kusin pembeni mwa George Washington na iliyo itakuwa ni mradi wa bajeti ya serikali ya Tanzania kwa miaka minne. Je unafahamu kuwa uchongaji wa sura ya Crazy Horse kuwaridhisha wahindi wekundu kutokana kunyanganywa ule mlima rushmore ambao ulikuwa na mizimu yao umechukua karibu miaka 20 sasa na bado hijulikana utakamilika lini?