Saturday, November 22, 2008

Ubumbumbu wa Sarah Palin Unaendelea!



Kinchoshangaza ni kuwa katoka kumsamehe bata mzinga kama desturi ya magavana wa Marekani wakati wa sikukuu ya Thanksgving. Halalfu hapo anaongea huko nyuma yake bata mzinga wanachinjwa.

7 comments:

Anonymous said...

Nadhani dada yangu unamchukia huyu mama kwa kwa sababu nyingine tu hasa tukizingatia kuwa uchaguzi umeshapita.

Bata mzinga kuchinjwa hapo nyuma wakati mama huyu akihojiwa mbele ya kamera inahusiana vipi na yeye kuwa mbumbumbu?

Anonymous said...

Da' Chemi,
Angekuwa ni mke mwenzio tungekuelewa kwa nini una chuki kiasi hiki na huyu mama. Sijawahi kuona ukisema lolote jema kwa Sarah Palin. Kumbuka hata wewe una mapungufu yako, hivyo ni vyema ukitupa hata upande mwingine wa sarafu wa huyu mama si mabaya tu! Grow up!

Anonymous said...

Mimi nimemfuatlia kwa makini Mama Palin. Da Chemi ana pointi. Huyo Mama Palin hatumii akili yake vizuri kabla ya kusema. Fiiria aliambiwa kuwa wanachinja turkey nyuma yake na yeye anaendelea kuongea. Marekani wanyama wana haki kuliko binadamu hivyo lazima watu wamchukie na kumwona ni punguani. Kwenya taarifa ya habari wali blur uchinjaji wa turkey na kutoa onyo kal kabla ya kuonyesha.

Mdau Columbus, OH

Fadhy Mtanga said...

Da' Chemi,
kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake.
Na maoni ya mtu si lazima yafanane na maoni ya mtu mwingine. Hivyo hatupaswi kukushambulia kwa mtazamo wako juu ya Sarah Palin.
Lakini pamoja na uhuru wa maoni, tunapaswa kufahamu kuwa kila binadamu anayo mapungufu yake.
Naipenda sana kazi yako, unatupasha habari katika namna ambayo pengine tusingeipata pahala pengine.
Keep it up.

Anonymous said...

Da Chemi wewe ni Sara Palin HATER!! She went out to support hiyo biashara what's wrong with that. Na amejibu maswali vizuri sana, kumbuka alishtukizwa kugombea U-VP; uwanja ukawa mpana.

But mambo ya Alaska, anayajua sana. DONT BE A HATER. OBAMA KESHASHINDA, WAO WANAONGEA; PLEASE GET OVER IT!!!

Anonymous said...

Unajua nilichogundua wanawake wengi walikuwa wanamchukia Hilary na wanawake wengi wanamchukia Sarah, mi nadhani ni wivu wakichoka wajinyonge. Kwa upande wangu sijaona umbumbumbu wa Sarah ila niliona umbumbumbu wa Obama kutaka UN iichukulie hatua Russia bila kujua Russia wana VETO - UN.

Anonymous said...

Dada kwa kweli humpendi huyu mama kabisa. Mimi ni shabiki mkubwa wa Baraka Obama, lakini nadhani huyu mama made mistakes like Obama did, Kampeni zimeisha, Obama ni Raisi basi mwache mama wa watu, najua tangu wakati wa Kampeni you have been saying a lot of things about her, kuwa kama Winfrid Oprah, baada ya Uchaguzi kwisha, sasa Oprah she is planning inviting Sarah Palin kwenye show, dada tuache wivu,