Thursday, November 06, 2008

Sarah Palin Alivyo Mbumbumbu


Wadau, Bill O'Reilly amekasirika kuwa McCain kashindwa. Sasa anamwumbua Sarah Palin. Anamlaumu Palin kwa kushindwa kwa McCain! Na ni kweli walimzuia kufanya interviews kwa sababu walijua hana akili!

Lazima mtazame hii clip kutoka O'Reilly factor. Yaani Palin alidhani kuwa Africa ni nchi moja na hakuweza kutaja nchi za Marekani Kaskazini!


****************************************************

Republicans wamekasirika ile mbaya! Hebu cheki hii story katika Newsweek:

NEWSWEEK has also learned that Palin's shopping spree at high-end department stores was more extensive than previously reported. While publicly supporting Palin, McCain's top advisers privately fumed at what they regarded as her outrageous profligacy. One senior aide said that Nicolle Wallace had told Palin to buy three suits for the convention and hire a stylist. But instead, the vice presidential nominee began buying for herself and her family—clothes and accessories from top stores such as Saks Fifth Avenue and Neiman Marcus. According to two knowledgeable sources, a vast majority of the clothes were bought by a wealthy donor, who was shocked when he got the bill. Palin also used low-level staffers to buy some of the clothes on their credit cards. The McCain campaign found out last week when the aides sought reimbursement. One aide estimated that she spent "tens of thousands" more than the reported $150,000, and that $20,000 to $40,000 went to buy clothes for her husband. Some articles of clothing have apparently been lost. An angry aide characterized the shopping spree as "Wasilla hillbillies looting Neiman Marcus from coast to coast," and said the truth will eventually come out when the Republican Party audits its books.

A Palin aide said: "Governor Palin was not directing staffers to put anything on their personal credit cards, and anything that staffers put on their credit cards has been reimbursed, like an expense. Nasty and false accusations following a defeat say more about the person who made them than they do about Governor Palin."

McCain himself rarely spoke to Palin during the campaign, and aides kept him in the dark about the details of her spending on clothes because they were sure he would be offended. Palin asked to speak along with McCain at his Arizona concession speech Tuesday night, but campaign strategist Steve Schmidt vetoed the request.

http://www.newsweek.com/id/167581

12 comments:

Nalitolela, P. S. said...

haha, hatimaye wanakubali sasa, haya! Kuhusu Wamarekani and to some extent hata Wacanda kudhania Africa ni nchi sishangai sana; most are dumb like that; lakini kwa governor/VP Candidate kutojua inasikitisha na kuaibisha. Ila tukumbuke this is a woman who had to transfer between 4 Universities and Colleges kumaliza 4yr degree in 5 years! Ila jamani hata NAFTA haijui jamani!!! Ila Waalaska naona akili zao nusu; maana sijui alishindaje huko na tena ni popular kweli. but then again, Sen wao ted Stevens kashindwa kesi ya kashfa ya takrima juzijuzi tu lakini bado wamemchagua tena!!

Nalitolela, P. S. said...

haha, lakini Da Chemi why are we suprised huyu mama hajui kuwa Africa sio nchi ni bara; wakati hajui kuwa kazi ya VP nini. Ukiachana na the fact that, that kind of stuff should be taught in elementary school US Civis. Na hata kama hakufundishwa shule, as a governor she ought to have learnt at some point... achana na yote hayo. Mbaya zaidi ni kuwa hata alipochaguliwa kuwa VP candidate, hakujiuliza hivi VP anafanya nini hasa. Ni sawa na kwenda kwenye usaili wa kazi, kazi yenyewe hujui inajumuisha majukumu gani

Anonymous said...

Ama kweli ni hillbilly. Hajui hata NAFTA na yeye ni gavana! Hiyo ya kutokujua kuhusu Afrika si ajabu lakini ni aibu kwa kiongozi!

Anonymous said...

Dah! Huyo angekuwa next in line kuwa rais. Mbona inatisha!

Anonymous said...

Da Chemi,
Hii kali!
Enzi zile kule nyumbani huyu tungemuita "Kihiyo", nadhani itakuwa bado haijasahaulika.

Sasa huyu walishamjua kuwa ana-mapungufu, lakini bado walishupaa kumtetea. Je babu angeshinda uchaguzi, halafu punde tu Mungu akamchukua. HUYU "opera singer" angeuweza u-rais kweli.

Ilifurahisha sana wale jamaa wa redio Canada waliojifanya Sakozi, na wakamuongea naye na kumuahidi kumtoa "out" ya kwenda kuwinda, naye akaingia mkenge, bila hata kujiuliza. Na hakushituka mpaka walipojitambulisha. Lo kazi kweli-kweli. Hata hiyo 2012 sidhani kama Wazee wa chama cha mlengo wa kulia watamruhusu.

Mdau,
London

Anonymous said...

da chemi samahani lakini ukweli lazima usemwe. licha ya umbumbumbu na uzumbukuku wake, huyu Sara Palin is more intelligent than you, Chemi. seriously.

Anonymous said...

dada yangu huyu palin angekua si mzungu,tungeona mabaya yake mengi sana yameanikwa ila uzungu 2 unamsaidia,sasa kweli mtu ambae angekuja kua makamu wa rais hajui km afrika ni bara,sawa hiyo twaweza sema kua wamarekani wengi hawajui,ila hata nchi zinazounda NAFTA hajui,ni sawa na kikwete leo hii tumuulize nchi gani zinaunda EAC aseme hajui,then mpuuzi mwingine mbaguzi wa rangi sean hannity anasema eti palin ni smart kuliko Obama,jamani huku si kufananisha kifo na usingizi,nilichukia sana siku ile kumsikia hannity akisema upuuzi ule najua kwa sasa o'reily na hannity watakua na ugonjwa wa moyo mana walifanya juu chini obama ashindwe ila Mungu akawaonyesha kua yeye ndio yuko juu kuliko yeyote,na akipanga mwanadamu hawezi kupangua.

Anonymous said...

Pamoja na kwamba Sarah sikupendezewa naye lakini naona kuwa kigender wamemakndamiza sana wamemdhalilisha mno lakini nmsifu ni shujaa sema Da chemi mwenyewe ni mgumu. Amejitahidi kukukuruak pamoja na kuwa alikuwa hajui mambo mengi. Wakumlaumu ni Babu McCain wala si yeye. Hebu fikirieni na nyie mngekuruushwa kuwa VP na hujui kitu lazima mnge chemka ila sijui kwanini hakukataa anyways all well and said ni mwanamke mwenzetu ni wakuhurumia kwa kufanywa mhanga na si vinginevyo

Nalitolela, P. S. said...

Mdau london ni kwamba hao GOP walikuwa kama tunavyosema washwahili... washalikoroga hivyo ilikuwa lazima walinywe. Maana wasingeweza kuanza kumsema hadharani au kumtoa katika ugombea wenza maana ingedhihirika kuwa chaguo lao ni kihiyo na wangekuwa wameharibu zaidi hiyo kampeni yao.

Yaani babu angemchagua Romney tu, mi nashangaa kwanini aliharibu namna hiyo. Najua alikuwa anataka ku-appeal kwa base yake na pia kumleta mtu ambaye ni "Washington outsider" na ana appeal kwa conservatives. Ila huyo aliyempata alikuwa too much. Washauri wake walikuwa hawafai kabisa.

Ila mwe, angeshinda jamani angetuburudisha Palin na vituko kama vya Bush :-D hahaha

Anonymous said...

kumuita mbumbumbu Palin smarter than Chemi ni kumtusi da hemi. ANyways, let's say she was, kwani Chemi ndio alikuwa anautafuta U-VEEP. Sijui kama Chemi ashakuwa raia wa marekani au la. Lakini let's say ni mtanzania bado, akaamua kurudi Tz kugombea halafu aonyeshe umbumbumbu ndio tutamsema. Kama tunavyomchekaga mzee wa guta Mrema. Ila kwa wale ambao wapo tu, kama mi na wewe, hatuwajibiki kujua all that

Chemi Che-Mponda said...

Asanteni wote kwa maoni yenu. Anonymous wa 8:10PM, ni kweli nimekuwa mgumu kwa Palin. Kwa kweli siku ya kwanza alivyojitokeza nilimpenda, lakini baadaye niligundua kuwa kuna kitu kinafichwa juu yake. Kwa nini walikuwa hawamruhusu kuongea na waandishi wa habari? Si bendera nyekundu hapo? Nikachunguza na kuona kuwa kazuia grades zake za shule. Ikatoka ile Katie Couric Interview na nilisikiliza kwa makini. Hapo ndo nilisema, huyo mama anawezaje kuwa gavana?

Haya, kukaa kidogo kashfa alizokuwa anatoa dhidi ya Obama zilikuwa si kama mtu mwenye elimu. Alikuwa anaongea kama wale watu wa enzi zile kabla ya Civil rights ila basi kabadilisha maneno. Nikachunguza kama anafahamu watu weusi na minorities zaidi ya eskimos. Hana rafiki minority. Mjiulize kwa nini watu waliokuwa wanajazana kwenda kumwona walikuwa wazungu watupu. Alikuwa anachochea zile moyo za kibaguzi ambazo zilikuwa zimefifia. Karudisha Marekani nyuma hapo.

Kwa kweli asingefaa kuwa katika uongozi wa taifa. Ile interview ya Sarkozy ilikuwa bomu yaani hakuweza kujiuliza kwa nini ana niuliza maswali ya ajabu hivyo?

Kama anataka kugombea 2012, basi arudi shule kwanza, na ajifunze kuongea kama kiongozi. Hiyo kiingereza anayoongea ni ya kishamba. Wasilla Hillbilly (mshamba kutoka Wasilla) huyo.

Nalitolela, nakubali kabisa kuwa McCain angemchagua Romney angepata kura zaidi.

Anonymous said...

Anony wa 4:42pm tunakujua wewe. Una uhusiano na... majina nahifadhi. Hebu acha zako. Kaanzishe blogu yako acha kumwonea gere mwenzako.