Hiyo ni habari njema Dada Chemi. Natumaini mikakati ya kupunguza udurufu pia inaandaliwa ikiwa ni pamoja na uhamasishaji ili wasanii wetu wakitanzania msife moyo. Naomba uliandikie andikie hili kwenye blogu yako walau mara moja moja ukitoa mifano LIVE ya copyright infringement huko US. Ni somo muhimu nyumbani. Nilifurahia coverage yako ya kijana aliyetoa siri ya kuigiza sinema kabla haijatoka. Hiyo story ilitakiwa isomwe na watu wengi zaidi. Keep it up.
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
2 comments:
Hiyo ni habari njema Dada Chemi. Natumaini mikakati ya kupunguza udurufu pia inaandaliwa ikiwa ni pamoja na uhamasishaji ili wasanii wetu wakitanzania msife moyo. Naomba uliandikie andikie hili kwenye blogu yako walau mara moja moja ukitoa mifano LIVE ya copyright infringement huko US. Ni somo muhimu nyumbani. Nilifurahia coverage yako ya kijana aliyetoa siri ya kuigiza sinema kabla haijatoka. Hiyo story ilitakiwa isomwe na watu wengi zaidi. Keep it up.
Kwa kweli hapa USA hakuna mchezo na copyright infringement. Yaani hata ukitaka kutumia 'materials' za msanii aliyekufa inabidi ulipe warithi wake!
Sikufurahi kuona yule kijana anashitakiwa na mtu kama Spielberg lakini alisiani mkataba na alivunja hivyo walivyofanya ni sawa.
Post a Comment