Saturday, October 20, 2007

Mark Curry nchini Tanzania

Actor maarufu wa Hollywood, Mark Curry aliyecheza kama Mr. Cooper kwenye sitcom ya miaka ya tisini, "Hanging with Mr. Cooper" alitembelea Tanzania na kufanya maonyesho huko juzi kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.

Hivi karibuni alichekesha umati wa watazamaji wa show, Fat Actress, stelingi Kirstie Alley, alivyocheza kama mwanaume anayependa wanawake wanene.

Hapo juu ni moja ya picha aliyepiga na washabiki wake wa Bongo wakiwemo rafiki yangu, Michuzi.

1 comment:

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Da Chemi habari za kwako.

Naomba nitoke nje ya mada ya mtundiko.

Naomba kukutaarifu kuwa,wananchi wenye hasira wameshindwa kujizuia dhidi ya ukatili waliofanyiwa watoto wawili huko singida kwa kubakwa mpaka mauti.

Leo nimetembelea tovuti ya ippmedia,nakukutua hitimisho la mmoja wa watuhumiwa kupigwa hadi mauti.

Siungi mkono tabia ya wananchi kujichukulia hatu mikononi ,ila inaumiza sana vitendo hivi kila siku dhidi ya watoto.

Ni hayo,tarishi auawi.unaweza kubofya hapo kwa habari zaidi
http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2007/10/22/100922.html


Naomba kuwasilisha

Wasalaaam