Saturday, December 15, 2007

Arudi Tanzania baada ya miaka Mingi


Mtanzania mwenye asili ya kihindi, Jules Damji, alienda Tanzania kutembea hivi karibuni baada ya kukaa nje muda mrefu yaani zaidi ya miaka ishirini.

Ndugu Damji, ni mtunzi wa kitabu maarufu, Oyster Bay Stories, kinachoelezea maisha ya wahindi mjini Dar es Salaam.

Tembeleeni blogu aliyoandika kuhusu safari yake hapa:



Pia ameandika maoni mazuri kuhusu watu kama Bibi Titi Mohamed na Mwalimu Nyerere.

No comments: