Wednesday, December 19, 2007

Ghorofa Upanga



Upanga pamebadilika kweli. Picha nilipiga mwezi wa 7, 2007 nikiwa Bongo.

Hii ghorofa (Luxury) iko Upanga karibu na Muhimbili Medical Centre. Niliambiwa kuwa Condo (fleti) zinauzwa mle kwa dola $150,000.

15 comments:

Anonymous said...

Hebu nisaidie dada yangu, Condo ni nini? Nimeshindwa kabisa kuelewa hicho ulichosema kinauzwa kwenye hiyo nyumba kwa dola 150,000.

Anonymous said...

Condominium ni fleti ambayo una miliki moja kwa moja hakuna kodi ya mwezi.

Anonymous said...

mimi ulinichanganya ila asante huyo wa juu yangu kwa kutuelewesha

Anonymous said...

Hivi Chemi nawewe pia unajichubua ngozi?

Anonymous said...

Ufanye mazoezi dada acha uzembe, dah utakufa kwa maradhi ya moyo na presha bureeee...ni wazo tu usijenge chuki, we iweke tu itawafaa na wengine kama wewe.

Anonymous said...

Du umri umesogea lakini bado rasta sio.ndio maana upati mume watu wengi hawapendi marasta

Anonymous said...

sasa wewe dada unafanya nini Marekani mbona unaonekana kama hali yako kimaisha ngumu sana kwanini usije tafuta kazi bongo

Anonymous said...

Hivi ni kweli Chemi huna mume? Mi nimimaindi mzigo. Nipe namba zako kwa cybernetics.bureau@yahoo.com naweza kuoa

Anonymous said...

Du kumbe ndio ulivyo kipipa!!! mama weee!!!!!!!!

Anonymous said...

Ila chemi tuseme ukweli wewe mbaya bwana du

Anonymous said...

Wewe unayesema Chemi mbaya ukome! kuna wanaume kama mimi tunapenda wanawake wa aina hii, ambao huku U.S.A tunaita BBW!!Chemi usiwajali washamba tu hao, kama unafanya mazoezi we fanya kwa ajili ya kuwa fit tu, lakini sio kupunguza hilo umbo la mahaba. Tuwasiliane Chemi mi nakufagilia jinalangu@hotmail.com

Chemi Che-Mponda said...

LOL! Nilidhani watu watacomment kuhusu hiyo ghorofa lakini mimi ndo nimekuwa main character!

Anonymous said...

huyo anon wahapo chini chemi anakudanganya eti anakupa email address yake wewe kafanye zoezi upungue uwe atleast huyo yuko desparate ya kukosa mwanamke huko nje jitengeneze wacha usela ndio unakufanya usionekane mzuri lakini sio mbaya hivyo kama watu wanavyosema

Anonymous said...

Kwenye picha hapo juu ulifanya nini nywele zako ulikata au(chemi)?

Chemi Che-Mponda said...

Tazama vizuri, nilifunga kitambaa kichwani.