DaChemi leo KLM wamecancel ATLANTA-AMST-DAR ingekua kwetu mngesema mahujaji!!WAPO WENGI!! sasa hapa mtasema ni nini?Naomba jibu!! maitotos hatonielewa kabisa huko kwenu!!
swali siyo kwamba klm wameahirisha u ku-cancel safari ya atl-ams-dar bali ni mara ngapi hii ishawahi kutokea na kwa sababu gani? pili hali ya hewa sasa hivi ni mbaya sana sehemu kadhaa marekani na canada sababu ya baridi na theluji kuanguka kwa wingi (zaidi ya 40cm sehemu nyingine). toronto, canada, kwa mfano, wamefuta zaidi safari 160 tokana ya tatizo hili. siyo sababu ya uzembe zingatia kwa wastani kuna zaidi ya flight 1400 kwa siku (0:00 mpaka 23:59)
doing business with canadian gold mining co's ... if you want to know how imperialism works check out cambior, omai mine and the omai/essequibo river cynide spill in guyana, south america. guyana only collects 5% of the gold revenue.
ukitaka kujua faida ya kufanya biashara na kampuni za kuchimba dhahabu toka canada tafuta (google au dogpile) cambior halafu soma kuhusu migodi yake ya omai, guyana au anza hapa:
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
6 comments:
badu tuko kwenye enzi ya ukoloni lakini uchumi ndiyo inatumiwa kutudhulumu. (kutoka mkenya fulani anaoishi ng'ambo)
Waafrika amka kumekucha!
Ajabu, huyo anayesaini mkataba hata peni anaazima kwa aliyetayarisha mkataba! Ama kweli 'kitu kidogo' imeathiri utendaji wa viongozi wetu.
DaChemi leo KLM wamecancel ATLANTA-AMST-DAR ingekua kwetu mngesema mahujaji!!WAPO WENGI!! sasa hapa mtasema ni nini?Naomba jibu!! maitotos hatonielewa kabisa huko kwenu!!
swali siyo kwamba klm wameahirisha u ku-cancel safari ya atl-ams-dar bali ni mara ngapi hii ishawahi kutokea na kwa sababu gani? pili hali ya hewa sasa hivi ni mbaya sana sehemu kadhaa marekani na canada sababu ya baridi na theluji kuanguka kwa wingi (zaidi ya 40cm sehemu nyingine). toronto, canada, kwa mfano, wamefuta zaidi safari 160 tokana ya tatizo hili. siyo sababu ya uzembe zingatia kwa wastani kuna zaidi ya flight 1400 kwa siku (0:00 mpaka 23:59)
doing business with canadian gold mining co's ... if you want to know how imperialism works check out cambior, omai mine and the omai/essequibo river cynide spill in guyana, south america. guyana only collects 5% of the gold revenue.
ukitaka kujua faida ya kufanya biashara na kampuni za kuchimba dhahabu toka canada tafuta (google au dogpile) cambior halafu soma kuhusu migodi yake ya omai, guyana au anza hapa:
http://www.albionmonitor.com/9-18-95/eyewitness.html
au itafute kampuni ya barrick gold pia (kmpuni hii iko bongo lakini imeingia kimizengwe).
duh kama ndo hivi,maendeleo hatutayapata,wenazetu wanafikiria mbali sisi ndo vile tena!!minority rule ya kichini chini!!!
www.st1inc.webs.com
Post a Comment