Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Saturday, February 14, 2009
Happy Valentine's Day!
Leo ni siku ya Wapenzi! Tupendane na mpende anayekupenda. Kama umepania kuoa basi leo u-propose kwa mpenzi wako. Na akina mama muandae vitu vizuri huko chumbani leo!
6 comments:
Anonymous
said...
Mimi nitamwomba dada fulani awe girlfriend wangu leo. Nampenda kweli sijui kama anajua lakini.
Dada chemi Valentine njema na wewe pia, naomba nikuulize swali, nikitaka kukutumia topic kuhusu suala fulani ili uiweke watu wachangie nifaneje?nikutumie email au inakuwaje, najua nimetoka nje kidogo naomba unisamehe!! Mchangiaji Mgeni!!
We da Chemi waandae vitu gani huko vyumbani. Mbona unabania maneno? ungewaambia wajitume na wawe wabunifu ili jamaa wasiwe wapuuzi kuvamia mapenzi wasiyofungwa nayo.
Pamoja na serikali kumvua madaraka aliyekuwa Mkuu wa Wilaya fulani (kule Kagera) kwa sababu za kuamrisha walimu wachapwe viboko na polisi, bado mimi naamini kuwa hiyo hatua haitoshi.
Ushauri wangu kwa walimu waliodhalilishwa na Mkuu wa Wilaya:
1. Wafungue kesi ya madai dhidi ya serikali kudai fidia ya fedha kutokana na udhalilishwaji hadharani uliofanywa na serikali. (walimu hao hawana hata kazi ya kutafuta ushahidi, kesi yao iko wazi). Hapa serikali ina kesi ya kujibu na inatakiwa kulipa fidia kwa kiwango abacho mahakama itaona kinafaa. Pia asasi za kutetea haki za binadamu nchini ziwasaidie hao walimu ili kesi yao iandikishwe mahakamani -na walimu wapate haki yao. Hili litakuwa funzo kwa serikali na wawakilishi wake ili wakati wote wazingatie miiko, maadili ya kazi na kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano.
2. Walimu wahamishwe vituo vyao vya kazi kwenda vituo watakavyopenda wenyewe kwenda kufanyakazi.
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
6 comments:
Mimi nitamwomba dada fulani awe girlfriend wangu leo. Nampenda kweli sijui kama anajua lakini.
Na wewe furahia ma Mr. leo Da Chemi!
Dada chemi Valentine njema na wewe pia, naomba nikuulize swali, nikitaka kukutumia topic kuhusu suala fulani ili uiweke watu wachangie nifaneje?nikutumie email au inakuwaje, najua nimetoka nje kidogo naomba unisamehe!!
Mchangiaji Mgeni!!
We da Chemi waandae vitu gani huko vyumbani. Mbona unabania maneno? ungewaambia wajitume na wawe wabunifu ili jamaa wasiwe wapuuzi kuvamia mapenzi wasiyofungwa nayo.
Pamoja na serikali kumvua madaraka aliyekuwa Mkuu wa Wilaya fulani (kule Kagera) kwa sababu za kuamrisha walimu wachapwe viboko na polisi, bado mimi naamini kuwa hiyo hatua haitoshi.
Ushauri wangu kwa walimu waliodhalilishwa na Mkuu wa Wilaya:
1. Wafungue kesi ya madai dhidi ya serikali kudai fidia ya fedha kutokana na udhalilishwaji hadharani uliofanywa na serikali. (walimu hao hawana hata kazi ya kutafuta ushahidi, kesi yao iko wazi). Hapa serikali ina kesi ya kujibu na inatakiwa kulipa fidia kwa kiwango abacho mahakama itaona kinafaa.
Pia asasi za kutetea haki za binadamu nchini ziwasaidie hao walimu ili kesi yao iandikishwe mahakamani -na walimu wapate haki yao. Hili litakuwa funzo kwa serikali na wawakilishi wake ili wakati wote wazingatie miiko, maadili ya kazi na kuheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano.
2. Walimu wahamishwe vituo vyao vya kazi kwenda vituo watakavyopenda wenyewe kwenda kufanyakazi.
Dada Chemi nilifuata usharui wako na kumwandalia mpenzi wangu mambo mazuri. Sasa nina wasiwasi nina mimba.
Post a Comment