Thursday, May 31, 2007

Jeff Koinange afukuzwa kazi CNN


Photo from CNN.com

Leo nimesikia habari za kusikitisha kweli. Jeff Koinange, amefukuzwa kazi CNN. Wanasema kuwa mwanamke aliyemtaka kamfanyia mbaya. Haya. Kweli wamepoteza mwandishi aliyejua Africa, na aliyetoa habari za kuaminika. Ni vizuri kuona mwafrika mweusi anaongelea habari za Africa na siyo mzungu. Kweli wamepata hasara na kama kafukuzwa shauri ya mwanamke ni hasara kwa CNN.
Huyo mwanamke anakataa kuwa yeye ndiye alisababisha afukuzwe. Soma habari zake na e-mail walizokuwa wanatumana hapa:

18 comments:

Anonymous said...

I do not believe these emails. ni upuuzi mtu, hapa kuna mtu anacheza tu, kafungua blog na kutaka kumharibia jina Jeff wa watu

Anonymous said...

Yani mi nimesikitika mno.
Jeff alikuwa ndo mwakilishi wetu wa kweli mwafrika mwenzetu. Na huyo mwanamke kamfanyia rivenji mbaya sana.Mwanamke wa kizungu akisema chochote anasikilizwa!
Mi namshauri ili kusafisha jina lake, aende kwa Oprah akakonfess(kwenye lile kochi maarufu)aombe radhi kwa kuchiti kwa mkewe,then aende Rehab, atoke na kusema yuko clean, ili aweze kurudi kazini, hata kama sio cnn, kuna watakomchukua, ni mwandishi wa hali ya juu. Its a shame to lose such a talent.
PS: Da' Chemi kitengo hicho cnn, kiwahi,tukuone ukitinga cnn. We pia si Journalist?

Chemi Che-Mponda said...

subira,

Nakubaliana kabisa na wewe. Mwanamke mzungu akisema kitu hata maswali hakuna! Je, tunajuaje kuwa hizo e-mail siyo za ku-forge? Ingekuwa safi aende Oprah akatubu mbele ya watazamaji. Ndo fesheni hiyo. Halafu kesho yake utasikia ana kazi Fox News au MSNBC!

Mimi siyo TV Journalist, bali ni print journalist. Si rahisi nikapata nafasi na CNN.

Anonymous said...

Haya yote yawezekana kabisa yakawa ni kweli yalitokea(I'm not sure) lakini hayakupaswa kugundulika kabisa kwa style hii(too bad yamekuwa exposed), ni mambo binafsi sana, issue kubwa hapa ni siasa, kwani mmesahau Clinton alivyofiksiwa na upinzani kwa kumtumia Lewinski? sasa tusishangae sana, haya mambo yapo kabisa Marekani, wote kina Kobe Bryant etc yaliwakumba, hizo ni siasa zilizopangwa zikapangika haswa ili kuharibu reputation zao. Cha kujifunza jamani ni kuwa watu wenye nafasi rare kama hizi wasijisahau sana, always wanatakiwa kukaa mkao wa kula, anything can happen anytime! na penye mtego mzuri ni pale wanapoamua kuvua suruali zao!Namtakia Jeff a quick recovery maana na homa atapata.

Anonymous said...

E bwana nimesoma the whole thing it was fucking sad.Atapata kazi mahali pengine ni jornalist mzuri sana.Don Humus aliwata watu Nappy Haded Hoes sasahivi Sirius Radio nakula maisha kama kawa.
CNN watajuta sana,A.Cooper mwenyewe hatapendezewa na hii habari ya kumpoteza Jeff.

Anonymous said...

Hii blog ya huyu mwanamke tutaipandisha chati sisi na hii habri kuonekana ni ya kweli.Kitu kinachompa kichwa mpaka sasa hivi ni blog yake kusomwa na wengi.Kweli huyu mama alikua amepania kummaliza huyu jamaa na records zote anazo muda,tarehe N.k

Anonymous said...

Subira na wewe una mambo ya ajabu,Chemi alikua anafanya kazi ya kusukuma makaratasi gazeti la mwananchi(interdepartment delivery)halafu unamshauri aende CNN?kwa crudetials zipi?Tangia amekuja U.S hajawahi kufanya kazi yoyote inayohusiana na uandishi wa habari zaidi ya haka kablog.Jamani tunagalie tunacho ongea au tunachowashauri watu.

Anonymous said...

This is crap, total nonsense! Nashangaa sana kusikia chombo chenye jina kubwa kama CNN kinaweza kutumia taarifa duni kama hizi kama kigezo cha kumfukuzia mtu kazi! Lazima kuna zaidi ya hizi emails!

Anonymous said...

Nimesoma hii habari na nimesikitikika sana haswa na dada chemi kutetea huu uozo huyu bwana inasemekana kwanza huyu bwana hajui kitu chochote kuhu work ethics na pili ni muhuni .

Jamani tofauti na kampuni za nyumbani makampuni mengi ya nga'mbo yanajali sana masuala ya image ...Ni sababu ya watu kama nyie mnaotetea uchafu ndio maana ukimwi unatuua kila siku !

Ni lazima ifike sehemu tujifunze kutofautisha kazi na mapenzi , naomba msome hii link halafu uniambie kama huyu bwana kufukuzwa ilikuwa kosa ...kitu kingine kilichonishangaza huyu bwana alikuwa na herpes , ugonjwa mbaya sana ambao hauna kinga wala dawa though hauuwi.

http://www.theradreport.com/2007/05/30/cnn-date-rape-journalist-jeff-koinange-fired/

Chemi Che-Mponda said...

Anonymous wa 7:25am, nimemtetea Jeff kwa ajili ya kazi aliyokuwa anfanya. Si kwa ajili ya upuuzi aliyofanya. Na mzungu kampinza kweli, yeye anapenda kufuga na Jeff alitaka zinyolewe tena Brazilian bikini wax style! Ouch! Na kama alitumia e-mail ya kazini kuandika upuuzi, shauri zake. Na anajuaje kuwa aliyemwambukiza nihuyo Jeff, maana wenye Herpes ni wengi sana dunia. Hata anayepata kidonda mdomoni baada ya mafua anayo.

Ni vizuri kuona mtu mweusi anayejua Afrika akiripotio juu ya Afrika. Inaudhi kweli kweli kuona wazungu wakiripoti habari za Afrika. Mfano tulipenda kumwangalia Jeff badala ya Kimberly Dozier, au Shepherd Smith.

Natumaini CNN watapata Mwafrika mwingine kuziba nafasi yake. Maana alisaidi sana kujenga 'credibility' ya CNN kwenye mambo ya reporting ya Afrika.

Anonymous said...

Jeff, You are a disgrace to African journalists. I can't believe a man with your level of exposure could engage in such.Shame on you. Just shows the kikuyu in you. Now you can go home and join the Mungiki sect.

Anonymous said...

Anon 2:49 naona wewe ni Mkenya,
Mbona una roho mbaya na Jeff hivo? Hata kama amekosea, wanaume wangapi wanafanya makosa ya hivyo? Sio cool kumsema kwa chuki hivo, alifanya kazi nzuri kama mwakilishi wa Afrika. Mimi nampenda na Namtakia kila la heri ili nije nimuone tena kama mwakilishi wa Afrika.
Am A Tanzanian and I have no beef with Jeff. White women are known to do this kind of thing, remember Kobe?

Chemi Che-Mponda said...

I've never met Jeff. But I liked the work that he did on CNN. He became well known in USA because of the work he did on Hurricane Katrina. Some Kenyans who I talked to labelled him arrogant and didn't have nice things to say about him.

But still I was disappointed to read what the woman wrote. If he really did writethat stuff using CNN mail he should have known better. In USA there is no joke when using office e-mail supplies. You can easily be fire dfor breaking the rules.

Phatlorenzo said...

I still can not believe this. Jeff was/ still is one of the few journalists that have earned my respect in the news business. Nimesikitika sana. I always watch AC 360 just incase Anderson Cooper would happen to bring in an issue from Africa because I know its Jeff who will be reporting. I can not comment about his personal or private life since we know too little about it. It could be a setup to outster him or it could be Jeff's wrong doing..but WE DO NOT KNOW. I always believe in giving people a second chance no matter what. Firing Jeff was not a solution to this. What happen to the likes of Bill O'Reilly (Fox News) or Marv Albert (TNT NBA Announcer). These guys were alleged to have horror incidents with women. Does it mean that if you are caucasian you can easily being let off the hook?
Jeff was an inspiration for all of us. I am sure we will see him soon reporting for another big time cable news channel somewhere.

Anonymous said...

Well, well, well! who is to blame here? Mzungu au us? we have tendecy of defending undefendable! African tuna tabia hiyo.. angalia tunavyo mlinda Mr.Mugabe, au Omari Bashir wa Sudan. Naamini kuwa Jeff alifall, its nothing to do with his color!CNN wame act according to their principals, sio kwa ajili ya rangi ya JEff. Kuhusu mwanamke.. lets be honest, hata sista zetu wana fanya the same stuff.... So lets not defend undefendable, Jeff is wrong, and he treat his wife vibaya sana. Imagine what she is going through now.

RG said...

mimi si mfuasi wa koinange. kama mkenya mwenzake hakuniridhisha mno. hata hivyo sielewi vile cnn walimfukuza kazini bila kuwauliza wote wawili maswali. labda koinange alinyanyasa binti huyo lakini hatujui kwamba yale yote binti huyu asemayo ni kweli. jambo moja ambalo sitaki ni kumleta mzungu aje kuwa ripota mkuu wa afrika kwa. LAMBO HILO HALIFAI NA SITAKI LIFANYIKE

Anonymous said...

What's done in the dark, will come to the light.

nnenziwenuu said...

aaaah come on. its not wrong for one to sling his hammer...kuna wengine kibao sana huko nje!