Tuesday, May 15, 2007

Aftershock: Beyond the Civil War

Hii ni trailer ya sinema ya Aftershock. Ilionyeshwa kwenye History Channel mwanzoni mwa mwaka huu mara kadhaa. Mimi niliigiza kama mtumwa aliyeachiwa huru, lakini nilijikuta bado niko utumwani pamoja na watumwa wengine. Sinema inahusu kipindi mara baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, miaka ya 1865.

http://store.aetv.com/html/product/index.jhtml?id=77017

2 comments:

Anonymous said...

samahani kuwa off-topic, naomba uongelee swala la Melinda doo little-

Chemi Che-Mponda said...

Ndiyo nitaongelea baadaye, lakini mimi wala sitatazama final wiki ijayo! Nimekasirika sana! Melinda na Lakisha ndo walikuwa THE BEST!