Thursday, July 24, 2008

Aibu - Taasisi ya Moyo kufukuzwa kwenye Jengo!



juu mwenyekiti wa nccr-mageuzi mh. james mbatia anaoneshna kukata tamaa na kutojua la kufanya wakati mama martha ndunye akiangua kilio kutokana na hali ya mwanae kelvin katalama ambaye kalazwa katika taasisi ya moyo ambayo leo ndiyo siku ya mwisho wa notisi ya taasisi hiyo kuhama waliyopewa na wenye nyumba nssf kutokana na kutolipia pango. picha ya juu ni sehemu ya mapokezi ya taasisi hiyo.
kwa mujibu wa mahojiano na tbc jana uongozi wa nssf umesema umeshafanya kila liwezekanalo kumaliza na mwendeshaji wa taasisi hiyo pekee binafsi ya moyo lakini ufumbuzi wa kulipwa hilo pango haujapatikana hata pale swala lilipofika kwa waziri husika. akiongea na waandishi muda mfupi kabla ya kutembelea wagonjwa waliolazwa hapo, mh. mbatia alimuomba jk aingilie kati sakata hili kwa kudai kwamba taasisi hiyo ni nyeti kiasi na haifai iachwe inataabika kwa jinsi inavyosaidia wenye kipato cha chini kupata matibabu ya moyo wakiwa nchini.
****************************************************************
Maoni yangu:
Jamani! Hapa nashindwa kuelewa serikali yetu. Navyoona ingekuwa vizuri kama wanageingilia. Hebu fikiria pesa zinazotumika kusafirisha wagonjwa kwenda Nairobi, India na South Africa! Kungekuwa na haja ya kuwasafirisha kama huduma nzuri ingekuwepo TZ? Na aliyeanzisha hiyo Taasisi ni shujaa maana anagweza kupeleka utaalam wake nchi nyingine na wangem-appreciate. ndo maana kuna Tanzanian brain drain!

Kwa kweli sijajua sababu hawajalipa pango. Lakini kufukuza watu wagonjwa si vizuri. Wataenda wapi? Je, Muhimbili watawapokea.

3 comments:

Anonymous said...

Lakini na yeye huyu Dr kwanini hakulipa deni, kama serikali ingekuwa haijampa fedha angewa tayari kisha sema, sasa inaonekana kuna janja yake huyu, mbio za sakafuni... Amekuwa akitumia vyombo vya habari in order to win alliance, wapi bwana! Lipa ubakie, no pango fee, no stay!. Hili ni tatizo la kutowajibika kwa kiongozi na matokeo yake ni hukumu kwa wananchi

Anonymous said...

Serikali waitaifishe basi kiwe kitengo cha Muhimbili!

Anonymous said...

LABDA UNGEENDA JAMBOFORUMS.COM/SIASA ungeelewa ukweli ukowapi na ushabiki uko wapi

kwa kukuonjesha tuu hebu soma hii:



Kwa Wale Ambao Mnataka Dondoo.....in Brief Sakata Lenyewe Liko Hivi



[COLOR="Blue"]TAREHE 16/9/2003 [/COLOR]DR Masau alisign Memorandum of Understanding na NSSF
Ambayo kama mmeisoma vizuri ilisema wazi kuwa NSSF wafanye renovation yale majengo ili yakidhi mahitaji ya THI na vile vile Dr Masau kwa niaba ya THI alikubali kuwa gharama za ile renovation zitachukuliwa na THI



([COLOR="Red"]Evidence soma MOU IPO KWENYE POST 55[/COLOR])





[COLOR="Blue"]TAREHE 31/1/2006[/COLOR] DR Masau alisign Lease Ageement na NSSF



katika agreement hiyo THI walikubali tearms and conditions ambazo wao wamechukulia lile jengo na pia walikubali kuwa NSSF watafanya matengenezo mengine as long as THI hawato default kwenye kufanya rent payments



kwenye tenancy agreement Dr Masau alikubali angeingia kwenye majengo tarehe [COLOR="Blue"]1/3/2006[/COLOR] na agreement inasema angekaa [COLOR="Blue"]mpaka 28/2/2011[/COLOR]



NSSF kwa kuona umuhimu wa kazi anayoifanya Dr Masau na THI walikubali kuwa Rent ya mwaka wa kwanza alipe Mwisho wa mwaka yaani [COLOR="Blue"]28/2/2007 [/COLOR]lakini baada ya hapo THI ilitakiwa ilipe rent ya mwaka in advance



Vile vile Dr Masau alikubali na akasign kuwa service charge atalipa US 3 per square metre in advance



[COLOR="Red"]LAKINI RECORDS TOKA HUKO HUKO THI ZINAONYESHA KUWA:[/COLOR]


Dr Masau hajalipa Rent na service charge kuanzia [COLOR="Blue"]1/3/2006 [/COLOR]mpaka [COLOR="Blue"]29/2/2008[/COLOR]


na katika kipindi hiki chote deni lake kama mtu anafanya mahesabu ya haraka haraka according to Lease agreement ni kiasi cha [COLOR="Red"]USD 837,696[/COLOR] na [COLOR="Red"]USD 314,136
[/COLOR]

ambayo ukiongeza 20% VAT utapata [COLOR="Red"]USD 167,539 [/COLOR]


Na kutokana na records za THI kuna [U][COLOR="Blue"]invoice namba 08658 [/COLOR][/U] ilitumwa kwao tarehe [COLOR="Red"]22/4/2007[/COLOR] kama Mashabiki wa Dr Masau wanabisha waje kuleta vielelezo tofauti



[COLOR="Red"][U]REACTION YA DR MASAU[/U]:[/COLOR]


huyu mheshimiwa aliandika baruatarehe [COLOR="RoyalBlue"]2/5/2007 [/COLOR] kwenda kwa Waziri Kapuya, na copy kwa Waziri Mkuu na Rais kulalamika kuwa NSSF have been too hard on him na hawakuwa na haja ya kufanya hiyo...lakini hakutoa sababu ya kutokulipa deni na cha ajabu kama kawaida yetu wana JF mtaona katika [COLOR="Red"][U]CLAUSE no 5 ya Memorandum of Understanding[/U][/COLOR] ambayo huyu huyu Dr Masau alisign na NSSF inasema kuwa NSSF haitofanya matengenezo zaidi ya ile Hospitali endpo THI itadefault kulipa deni




[U][COLOR="Red"][U]MWENYE MACHO HAAMBIWI ONA[/U][/COLOR][/U]


Dr Masau ambaye ana PHD alikubali kusign hii contract na kisha akaamua kudefault kulipa kama alivyofanya TMJ na kwingineko analalamika kwenye hoja ya utetezi wake kuwa hawezi kulipa hilo deni kwani NSSF hawajafanya matengenezo yale majengo lakini huu ni uwongo wa hali ya juu kwani NSSF wako entitled lao pamoja na costs za renovation kama alivyokubali huyu Dr Masau



Zaidi ya hayo NSSF walimpa notice ya siku 7 for non payment ya [COLOR="Blue"]USD 1,319,371[/COLOR]


Baadae wakampa notice ya siku 30 kwa ajili ya kulipa renovation costs kiasi cha SHILINGI [COLOR="Blue"]1928,435,670[/COLOR]

sasa jamani semeni integrity ya huyu mtu iko wapi?