Friday, July 04, 2008

Leo ni sikukuu ya Uhuru Marekani - Julai 4

Leo ni sikukuu ua Uhuru Marekani. July 4th, Independence Day. Walipata uhuru wao, siku ya July 4th, 1776, kutoka kwa Mwingereza. Hivyo, nchi ya Marekani ina miaka 232 tangu ipate uhuru kwa kumwaga damu. Kabla ya hapo Marekani ilikuwa koloni kwa miaka karibu mia na hamsini. Waingereza walikuwa wakatili na waliua watu waliotaka uhuru.

Leo kuna sherehe kibao nchini. Watu wanafanya barbecue na kukutana ndugu na marafiki. Jioni kuna kuwa na fireworks katika kila mji.

HAPPY FOURTH OF JULY!

No comments: