Thursday, July 24, 2008

Fesheni za karibu Uchi!

Wanaume nao siku hizi!
Fantasia alishinda American idol na sasa anatembea karibu. Nguo ya kuogelea hiyo! Akipiga mbizi huo uzi utafunguka! Wimbi ukikija uzi unafunguka Khaa!
Miaka ya 90 watu walilalamika kwa vile J-Lo alivaa nguo amabayo uliweza kuona matiti yake ukitazama vizuri. Sasa huyo kaamua kufunga mkanda kwenye chuchu zake feki (implants) na kusema kavaa!


Jamani, nilishasema kuwa fesheni za siku zinaonyesha kila kitu, bado kidogo watu watakuwa wanatembea uchi na watu hawatajali. Mambo ya kuvaa ka-uzi (G-string) matakoni na kusema uemvaa ndo mambo gani. Mambo ya Adamu na Hawa ni hapo zamani za kale kweli!

5 comments:

Anonymous said...

Ukikaa uzunguni haya unakutoka! Wazungu hawana haya hata kidogo!

Anonymous said...

Da Chemi,

Just curious ...are you okay ?

Anonymous said...

poa nyonyo si ndio fasheni,lakini bongo vitu vya kawaida kuona nyonyo za dada zetu au za mama zetu,lakini kwa ng'ambo nyonyo kuonekana sio ovyo ovyo...yaani hao wadada waliovvaa hivyo kama kwetu coco beach..ungelitia akili na washashi kukuandama unapoogelea,ukipiga mbizi.unakutana na chunusi watu...nyie acheni tu bongo tambarare....

Anonymous said...

Da chemi,kwa kadri dunia inakoelekea hii ni dalili kwamba watu watambea uchi one day.

Anonymous said...

Kemi ujue hata wewe pia umekaa kisex sana.nakupenda sana.
Fura