Tuesday, July 01, 2008

Michuzi ana Anwani Mpya!

"TANGAZO LA ANUANI MPYA NA MICHUZI PAMOJA NA BONGOTYUBE";

KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MSAADA KWENYE MATUTA HAYO MAWILI.


1. NAOMBA MNITANGAZIE KUPITIA BLOG ZENU TUKUFU KWAMBA KUANZIA JUMATANO HII SAA SITA USIKU KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI ANUANI YA BLOG YANGU INABADILIKA TOKA issamichuzi.blogspot.com NA KUWA http://www.michuzi-blog.com/ ILA MUONEKANO WA BLOGU YANGU UTAENDELEA KUWA ULE ULE BILA MABADILIKO ZAIDI YA KUONGEZA HUDIUMA IKIWA NI PAMOJA NA ZA VIDEO


2. NAOMBA PIA MNITANGAZIE KWAMBA NIMEANZISHA AINA YA YOUTUBE YA KIBONGO ITAYOENDA KWA JINA LA http://www.bongotyube.com/ LENGO LIKIWA NI LILE LILE LA KUWAPA FURSA WADAU KUTUMA VIDEO ZAO ILI ZIONEKANE NA KILA MDAU ULIMWENGUNI.

NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU KWA USHIRIKIANO HUKU NIKIOMBA MAONI NA USHAIRI WA KUBORESHA HUDUMA HIZO MBILI.

WENU KATIKA KUENDELEZA MAWASILIANO YA TEKNOLOJIA YA KISASA

MUHIDIN ISSA MICHUZI

1 comment:

Anonymous said...

Kaka,
Mpendwa wetu,
Maalim,Mkuu wa Mkoa,
sorreee, wilaya ya Tegeta,
Mpiga picha mashuhuri,
Mwanablogu mahiri,
Baba nanihii,Mzee wa kuendeleza libeneke,
Mwenzetu,
ndugu yetu na mjomba Muhd,
Asante kwa taarifa.

Tangazo limefika na habari imefahamika. Daima pamoja katika kuendelea kuhabarishana WaTz.
- Subi