thanks chemi kwa links mpya za michuzi pamoja na Tyube yake. lakini jamaa angetafuta ushauri kwani hilo jina la YOU TUBE ni la watu. Hao waliouza kwa google waliuza kila kwao na jamaa yako MISOUP anatumia hiyo GOOGLE wakijagundua jamaa anaweza kujikuta analundikizwa deni la mamilioni kwa kuiga jina la WATU lilisajiliwa kisheria. Kumbukeni kwamba hivi sasa wanaomiliki YOU TUBE wanadaiwa mamilioni ya fedha kwa kuonyesha kazi na picha za watu zilizosajiliwa kisheria. KISA...hawakufuata sheria za haki NAKILI. BABA zenu wa minada EBAY nao wamepigwa faini la mamilioni ya fedha kwa kuruhusu mtandao wao kuuza bidhaa feki ikiwa ni pamoja na mafauta ya manukato na mapochi ya kike. KWA hiyo kubadilisha jina huku ukifuata mlolongo na mpangilio mzima wa mtu mwingine, haina maana kwamba hujakiuka sheria za kunakili KAZI za watu zilizojiliwa kisheria. Kama ingekuwa ni IZE kwa kila mtu kufanya hivyo, basi wanaomiliki mitandao kama YAHOO na MSN nao wangeibuka na fasheni kama hiyo ya TYUBE na kuvutia watu kwenye mtandao wao. MMACHINGA fata ushauri kwanza siyo kukurupuka tu.
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
2 comments:
Asante kwa linki. Nilikuwa natafuta blogu sioni.
thanks chemi kwa links mpya za michuzi pamoja na Tyube yake. lakini jamaa angetafuta ushauri kwani hilo jina la YOU TUBE ni la watu.
Hao waliouza kwa google waliuza kila kwao na jamaa yako MISOUP anatumia hiyo GOOGLE wakijagundua jamaa anaweza kujikuta analundikizwa deni la mamilioni kwa kuiga jina la WATU lilisajiliwa kisheria.
Kumbukeni kwamba hivi sasa wanaomiliki YOU TUBE wanadaiwa mamilioni ya fedha kwa kuonyesha kazi na picha za watu zilizosajiliwa kisheria. KISA...hawakufuata sheria za haki NAKILI.
BABA zenu wa minada EBAY nao wamepigwa faini la mamilioni ya fedha kwa kuruhusu mtandao wao kuuza bidhaa feki ikiwa ni pamoja na mafauta ya manukato na mapochi ya kike.
KWA hiyo kubadilisha jina huku ukifuata mlolongo na mpangilio mzima wa mtu mwingine, haina maana kwamba hujakiuka sheria za kunakili KAZI za watu zilizojiliwa kisheria.
Kama ingekuwa ni IZE kwa kila mtu kufanya hivyo, basi wanaomiliki mitandao kama YAHOO na MSN nao wangeibuka na fasheni kama hiyo ya TYUBE na kuvutia watu kwenye mtandao wao. MMACHINGA fata ushauri kwanza siyo kukurupuka tu.
Post a Comment