Saturday, August 23, 2008

Mdogo wake Obama anaishi kwa dhiki Nairobi


Mdogo wa mwisho wa Senator Barack Obama, ambaye anagombea urais wa Marekani, amaepatikana huko Nairobi Kenya. George Hussein Obama (26) anaishi kwa dhiki huko kwenye kitongoji cha Huruma.
Vyombo vya habari hapa Marekani vinamsema Obama. Wanasema kuwa Obama anaishi kwenye nyumba ya fahari, huko modogo wake anaishi kwenye eneo hatari na kwenye dhiki.
Lakini niulize, unadhani wazungu hapa watafurahi kusikia kuwa Obama mdogo kapata visa kuja Marekani? Wanafiki kweli! Hawapendi kuona weusi wanapata visa, walilamika kweli waHaiti na waSomali walivyopata visa kwa wingi kuja Marekani, lakini husikii wakilalamika kuwa wazungu kutoka Bosnia au Russia wanapata visa. Na ngoja, mtasikia wazungu wa Georgia wamepata kwa wingi. Hakuna atakayesema kitu.
Haya tuone Obama atamsaidiaje ndugu yake. Inaelekea kuwa ndugu zake wengine hawako karibu naye huyo kijana.
Kwa habari zaidi someni:


3 comments:

Anonymous said...

we Chemi u missed the point, halafu we da Chemi unaposikia vyombo vya habari vya marekani akilini mwako kitu cha kwanza kinachokuingia ni wazungu tu? khaaa...mature up.
wanapomsema Obama kuhusu mdogo wake sio kwamba wanataka ampatie visa aende marekani,ila anatakiwa amsaidie....kama kweli ni mtu ambaye anapigania kuboresha maisha ya watu kama anavyodai nadhani si shida sana kumjengea nyumba ya kawaida hapo Nairobi, haizidi hata usd 30,000..

Anonymous said...

Kuboresha maisha ya mtu sio kumjengea nyumba. Maisha ya George kuboreshwa ni kupewa elimu. Na hao ndugu wasitegemee sana kutoka kwa Senator Obama akishinda uraisi kwani yule kalelewa kwenye culture nyingine, tena kwa wazungu (his mother's side).

Anonymous said...

watu wengine bana...kuweni na poin sometimes...
huyo obama amefika hapo alipofika kwa jitihada zake mwenyewe...na alivyoachwa na baba yake hamjasema kitu sasa amepata mnategemea hawatafute...
by the way may be he does even know you guys exist..na wala hana mpango..
kama unahasira why can't you do the same...
same blood huh...so you got have guts to work hard and get what you want for f**** sake

he got his own family to worry about (kids and his wife) and america


in case of help maybe you will come under other categories just like any other body and that will be under american goverment...but don't expect much..

get your own man...

halafu unajua tunapenda kujiabisha sana.next time get good story ...eveytime mnalia tu shida damit..
hata amerika they have their own problems but they never sell to the public they keep to themselves.
they only sell what's good..and that's why you get that image you hold in your mind..

build good reputation for your own country..because what they know is all what they see and hear..