Tuesday, August 26, 2008

Mtoto alazimishwa kufanya mapenzi na Mbwa Mwanza!


Wadau, sikumbuki ni mwaka gani lakini nadhani ilikuwa kama 1989. (Michuzi hebu toa ile story kwenye Daily News Archives) Wazungu waItalia walimchukua malaya huko Dar na kumlazimisha afanya mapenzi na mbwa aina ya German Shepherd maeneo ya Kunduchi! Wale wazungu walikamtwa na kufukuzwa nchini (deported).

Kuna wazungu wenye tabia chafu ya kutembea na mbwa. Hapa Boston kuna mama moja alifungwa hospitali ya vichaa baada ya kugundulika alikuwa anafanya mapenzi na mbwa wake. Huyo mbwa alimwita 'bwana yake'! Watu walikuwa wanapita na kuona mbwa kampanda huko anafurahia ndipo wakaita polisi.

Je, hao waliomlazimisha huyo binti huko Mwanza afanye na mbwa watafanyiwa nini? Inaelekea wabongo walishiriki kwenye huo mkasa! Sijui walitaka sinema ya bure. Hizi sinema za magharibi zinaharibu watu!

Asante Kaka Edwin Ndaki kwa kunidokeza kuhusu hii habari ya kusikitisha.


************************************************************************

Kutoka Edo Ndaki Blog:

Wamewachuna ngozi watoto miaka kadhaa iliyopita.Wamekuja na stahili ya kuwaua na kuwakata viuongo wenye ulemavu wa ngozi(albino).Wamewaongezea nauli ya daladala.Wameziba masikio ..hawasikii tena kilio chao

Tukio limetokea wilaya ya sengerema mkoani Mwanza.Mtoto mwenye umri wa miaka 13(jina limeifadhiwa).Ilikuwa jioni akiuza maandazi na kuja kuchukulia na mwanamke Shija Mdata na kumpelekea kwenye kituo cha utafiti wa madini kinachomilikiwa na kampuni ya madini ya Barrick.

Shija akishirikiana na watu watatu walitumia nguvu kumpeleka kwenye banda la mbwa. Walimwinamisha mtoto huyo na kumlengesha maungo yake ya siri usawa wa mbwa, na kisha mbwa kumwingilia.

Mbali ya mtoto huyo kulia kwa uchungu kuomba msaada ,lakini waliendelea kumshikilia huku akingiliwa mpaka pale mbwa alipokidhi haja yake.

Baada ya ukatili huo walimpatia shilingi 1000 ya matababu na pia asitoe siri.

Alipokwenda katika zahanati moja na kupimwa, alikutwa na usaha mwingi katika haja ndogo na hivyo kupewa vidonge vya kumsaidia kutoa uchafu huo, pamoja na dawa za kupunguza maumivu.

Ni habari ya kusikitisha sana.Inaumiza sana.Haiwezi kuvumilia.Ni mara ngapi tunasikia vilio vya wanaofanyiwa ukatili huu.Wengine wanaishia kuteseka na kukaa kimya.

Unasemaje baada ya kusoma hii habari ili tuokoe jamii yetu.Huo ndio utafiti wa madini?

Tutafika tu.

Habari zaidi soma

9 comments:

Anonymous said...

hapa ndipo nitakapoona kama tamwa na tawla na tngp wanatetea wanawake kweli au wapo hapo kwa maslahi tu. mara nyingi usu malya na ananlea nkya wamekuwa wakali kutaka wanawake kupewa madaraka serikalini na katika ubunge. sasa hapa ndipo pa kutetea haki za wanawake. nasubiri watatoa tamko lolote? au wanasubiri kupiga kelele kuhusu vyeo?hichi kitendo ni unyama tena kwa bahati mbaya aliyemchukuwa huyo dada ni mwanamke mwenzake sio mwanamme. sasa vyama vya kutetea haki za wanawake lazima mje juu sana na kutaka hao wazungu na huyo kibaraka wao wakamatwe na kufikishwa mahakamani sio kuwa deported kisha mambo yakawa kimya. wahukumiwe na kwenda jela ili huko wakutane na majambazi nao walawitiwe waone raha ya kufanya hayo mambo.natoa wito kwa tamwa tawla na tngp kuwa hili sio suala la kukaa kimya. ni lazima muwe wakati sababu hadhi ya mtu huwa haiondoki kwa umasikini wake. kuuza maandazi sio hoja ya kumdhalilisha mtu na kumfanyia unyama huo.nasubiri tamko lenu.

Anonymous said...

yaani duniani kuna watu wakatili sijui hata niwafananishe na nini.

Najua kwa serikali ya rushwa hao wabongo ndio watasota magereza na wazungu najua lazima watachukua pipa na kurudi west.

pole sana kwa mtoto

Anonymous said...

Da chemi sana hilo tukio la dsm la mbwa kumuingilia dada wa kitanzania.

Nilisikitika sana kuona wale wazungu wanapongezwa kwa kuambiwa warudi kwao

Anonymous said...

Watu aina hii, PIGA RISASI HADHARANI TU. takayetaka kufuata njia hiyo hapo baadae na aifuate. Kwa sababu hata wakifungwa...watatoka kwa misamaha mbalimbali.

Anonymous said...

dah maskin imeniliza sanakusikia story hii,wala tusikubali hao lazima wauliwe mtoto mdogo maskin hana hatia wamemfanya kama mnyama ,na huyu dada ndio mtazania mwenzake na ni mwanamke mweziwe yeye ndio chanzo chote niwakupigwa hadi kuuliwa au kufunguliwa kifungo cha maisha,na pengine sio mtoto huyo tu inaonesha ndio kazi yake kaizowea hana wasiwasi.ikiwa serikali itawarudisha hao wazungu makwao wallahi watanzania tusikubali tuandamane tu laa si hivyo watazidi kutunyanyasa na kutuharibia kizazi chetu na kufanya watakavyo,wao hawakubali nchi yao mtu kukiuka sheria umekosea kidogo tu sheria jee huyu mtoto wa watu maskin imeniuma sana.hao watu waonyeshwe kwenye magazeti na sheria itangazwe kifungo cha maisha ndio watakoma kwa wale wengine waliokuwa hawajajulikana wenye tabia mbovu.mara nyengie watatuheshimu watanzania.tukikaa kimnya ndio watazidi.

Anonymous said...

Ndugu yangu anon wa kwanza hao kina Ussu malya na Ananlea nkya ni wafanyabiashara wameamua kujiajiri kupitia wanawake, hawana lolote. Tusikilize, watasema nini

Anonymous said...

Huu ndio ushenzi wa mwisho ambao hauwezi kuvumiliwa. Mleta habari anza kuendelea kuleta majina ya wote waliohusika hata tujue pia huyo mzugu mwenye mbwa na wote waliokuwepo au waliojua mpango wa unyama huu ili sote tuandamane na kupaza sauti zetu hadi ofisi ya mwanasheria mkuu na kwa mkuu wa mashitaka ya jinai na kwa Jaji Mkuu na mwisho kwa Mh.Pinda maana aliahidi kurejesha utawala wa sheria.

Anonymous said...

.Kama ni kukemea hao viongozi wa Tamwa na tawla wangeishakemea zamani maana hili tukio lilitokea zaidi ya miezi mitatu nyuma na hatukusikia wakisema chochote.
Na common sense inaonyesha hii mara ya kwanza kwa mbwa huyo kufanya kitu kama hicho.
Haiwezekani mbwa akasogezewa msichana aliyeinama akajua cha kufanya kama sio shughuli yake ya mara kwa mara.
Si ajabu hata huyo aliyempeleka mwenzake aliishawahi kufanyiwa.
Kinachouma zaidi ni kuwa wote waliofanya ukatili huo ni waafrika wenzetu ambao bila shaka walikuwa wameagizwa na bwana mzungu wao.
Hivi nchi hii tutaendelea kuvumilia upumbavu huu mpaka lini???

Anonymous said...

kwakweli mimi ninasikitika sana kutokana na uhalifu wa hapa bongo.Polisi wanapenda rushwa sana inawezekana kesi imeshazimwa maana ni muda mrefu tangu hii habari irushwe kwenye radio one kupitia kipindi chao cha mambo mseto.kwakweli inasikitisha kwani haijafuatiliwa kabisa.mie naona huyo mwanamke aliyempeleka mwananamke mwenzake tena mtoto inaelekea hajapata mtoto.kama ana mtoto hawewezi fanya huo unyama.Anatakiwa na yeye apelekwe hapo afanyiwe na huyo mbwa aone balaa lake ni mshenzi sana.huyo wala hatakiwi kuuawa wamtoboe macho apate adha ya dunia.ana roho mbaya sana.na tunaomba wadau mfuatilie kwa makini mpaka waadhibiwe.Sema ukweli tukiendelea hivi tutaishia pabaya