Picha kutoka Michuzi BlogMrembo Nasreem Karim (22) amechaguliwa kuwa Miss (Vodocom) Tanzania 2008. Alichaguliwa kati ya warembo 26 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania.
Tunamtakia kila la kheri katika mwaka wake wa U-Miss.
Kwa habari zaidi mtembelee Kaka Michuzi.


2 comments:
Uso wake umekomaa. Best Wishes kwake!
mwe kumbe ni vodocom sijajua dada.
Post a Comment