Wednesday, August 06, 2008

Usambazaji wa UKIMWI

Hebu someni hii 'study' iliyotoka leo. Inatisha!

Wanasema ukifanya kawaida, ume/uke... chenzsi ya kuamukizwa ni 1 kati ya 10. Na ukifanya huko nyuma (kufira/kulawiti) ni 1 kati ya 3!

Tumieni Kondomu jamani! Mungu atunusuru!

******************************************************

Heterosexual couples more likely to transmit HIV

August 6th, 2008

Heterosexual couples are at a greater risk of transmitting the HIV virus during sex than most people realise, according to a new study.

It is said that on average only one heterosexual transmission of the AIDS virus would be expected for every 1000 sexual contacts, assuming one partner was HIV-positive and the other negative.

However, American researchers claim that the actual figure could be as high as one transmission for every 10 instances of vaginal sex, reports News.com.au.

At International AIDS Conference, researchers said that the risk could be as high as one transmission for every three instances of heterosexual anal sex.

After reviewing 27 previous studies on HIV transmission, the team concluded that underestimate had arisen because most of the studies were based on heterosexual couples with particularly low-risk habits.

The findings were published online by The Lancet Infectious Diseases. (ANI)

http://www.newspostonline.com/health/heterosexual-couples-more-likely-to-transmit-hiv-20080806976

2 comments:

Anonymous said...

chemi hebu tupe ufafanuzi mana hiyo link ya kiingereza inasema heterosexual. mimi naona hiyo msg inakusudia homosexual kuwa ndio wenye uwezekano mkubwa wa kusambaza ukimwi na sio heterosexual. ijapokuwa wanaume na wanawake wanaweza kufanya liwati lakini wengi ni wanaume kwa wanaume. sasa hebu tupe ufafanuzi kwa nini iwe hetero sexual na sio homosexual. lakini kwa upande mwengine hii ni laana na dalili kuwa karibu ulimwengu utafika mwisho na watu kukusanywa pamoja kwa malipo ya waliyoyatenda duniani.

hivi inakuwaje kwa mtu kumwingilia mwenzake kwa nyuma? wakati njia ya kimaumbile imewekwa? na inakuwa je mwenye akili timamu akakubali kuingiliwa nyuma? huo si wazimu? hivi huko kuna raha gani zaidi ya kuchezea uchafu?

mungu awalaani wote wanaofanya ngono kinyume na maumbile

Anonymous said...

MMMhhh haya maneno mengine uliyotumia huku kulawiti nadhani liko sawa lakini hilo lingine linatisha