Saturday, August 09, 2008

Tendo la Ndoa Uzeeni




Wadau, niliwahi kuposti mada hapa aliyoandika Kaka Lazarus Mbilinyi inatiwa 'Mawaidha Kuhusu Ndoa'

Sasa ameandikia kuhusu tendo la ndoa uzeeni.

Nadhani wengi tunadhani kuwa ukifikisha umri mkubwa ndo basi unaaga ngono/tendo la ndoa. Hiyo wazo inatia watu kiwewe. Kumbe wala, bado wamo! Asante sana kaka Mbilinyi kwa kuelimisha jamii kuhusu ngono tendo la ndoa. Natumaini watu hawatogopa kuzeeka sasa.

*******************************************************************
Na Lazarus Mbilinyi

Je, wazee wenye umri mkubwa bado huwa hamu kubwa ya tendo la ndoa? Utafiti wa sasa unaonesha kwamba jinsi mtu anavyozidi kuwa mzee uwezo wa kuonja, kunusa, kusikia na kuona hupungua. Pia uwezo wa kusisimuliwa kwa kuguswa hupungua pia.

Kiasili uwezo wa kusisimuliwa kimapenzi na uwezo wa kufanya tendo la ndoa pia hupungua (libido)Pia Utafiti unaonesha kwamba uwezo wa kufanya mapenzi huweza kupunguza kutokana na umri kuwa mkubwa ingawa pia umri kuwa mkubwa hauwezi kuzuia kabisa hamu ya tendo la ndoa (terminate).

Kuna ripoti kwamba wanaume na wanawake wenye umri wa miaka 50 hadi 80 bado wana hamu kubwa ya kufanya mapenzi (libido) na si kufanya tu bali kufurahia mno tendo lenyewe.

Kuna imani potofu nyingi kuhusiana na tendo la ndoa katika umri mkubwa zifuatazo ni baadhi tu ya hizo imani; Kushindwa kushiriki tendo la ndoa ni matokeo ya umri kuwa mkubwa.Tendo la ndoa ni hatari kwa wazee wenye umri mkubwa. Uwezo au hamu ya tendo la ndoa (libido) hupungua kwa kadri mtu anavyozeeka.

Yote hapo juu si sahihi kabisa. Hizo imani potofu zipo kwa muda mrefu na zimekuwa zikisababisha watu wenye umri mkubwa (wazee) kushindwa kufurahia tendo la ndoa au uumbaji wa Mungu.

Je, mabadiliko ya mwili kwa wanaume wazee huathiri vipi tendo la ndoa?

Kawaida wanaume wazee huhitaji muda mrefu ili kuweza kusisimka.

Kile kilichokuwa kinahitaji sekunde chache hadi dakika chache katika umri wa miaka 19 huhitaji zaidi ya dakika 15 katika umri mkubwa kwa mwanaume.

Wanaume wengi wenye umri mkubwa hupona ugonjwa wa Kukosa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kujifunza matokeo na athari za umri kwenda sana (Uzee) Katika umri ulioenda wanawake wazee wahahitaji kufahamu kwamba wanaume wazee huhitaji muda mwingi na wakutosha kuuandaa jogoo awike.

Mabadiliko mengine ambayo hutokea kwa mwanaume mzee sana ni kupotea kwa uwezo wa kufika kileleni tofauti na wakati akiwa kijana.

Hii ni kutokana na Kukosa hisia (sensation) za tendo la ndoa. Pia kiwango cha sperms anazotoa hupungua hivyo mwanamke mzee asiwe na mtazamo wa kudhani kuwa uwingi wa sperms ndio uzuri wa tendo la ndoa.

Mnaweza kumtembelea kwenye Blogu yake: http://www.mbilinyi.blogspot.com/

11 comments:

Anonymous said...

Hey, babu anachezea chakula ya mtoto! Picha ya pili. Hivi bibi kweli anasisimka au basi tu kuriwadha babu? Kwani nasikia wanawake wanapofikia umri huu huwa wanakosa hamu ya tendo la ndoa

Anonymous said...

Kwa nini wazee wasisikie raha wakati wa mavituuz. Tena wanaona tamu kweli maana hawana wasiwasi ya kupata mimba!

Anonymous said...

Wazee wetu Bongo wanajiheshimu. Wanaacha kufanya ngono wakiwa na miaka 50. Wazungu hawajiheshimu hata kidogo.

Anonymous said...

My friend when you reach 40s onwards utashangaa how good the whole thing is! I am a 60 year old and it is still great! I was told by older ladies before I had hit my 40s and thought it was a lie and now I am experiencing it myself!! Hope there are 60 year olds who visit this blog - tell the under 40s please!! Smile girls!!

Anonymous said...

Mimi nilivyosikia bolo la dume linanyauka na K ya jike lina kauka na kufunga kabisa! Kumbe hakuna kitu kama hicho! DAH!

Anonymous said...

WE anony wa 8:12, PLLEEEASE , tutake radhi! I am 49, do you mean that from next year i am history, while i am not even conteplating to even DREAM about hanging' up my BOOTs???

Are you talking about real BANTUS men????
By the way, THANX, anony wa 4:07!

Anonymous said...

Loh! Jamani! Mbona nimetongozwa na wanaume wenye miaka hamsini na, ina maana zimenyauka?

Anonymous said...

Nyie watoto wadogo shikeni adabu! Mimi babu yenu nina miaka 75 na bado nataka kutua ndege! Na ninaweza! Shikeni adabu kabisa! Na nikimkaza springi chikeni andona raha sana. - BABU YENU

Anonymous said...

Mimi ni mzee lakini nafurahia kufanya ngono. Lazima niseme wanawake wazee wanajua mambo. Mabinti wadogo bado wananuka maziwa.

Anonymous said...

Vijana pupa tu hawajui lolote.
Raha ya ngono tuachiaeni sisi.

With age one knows how to go about it, just cool, from the begining to the end just honest, deep sensations! anon 8/9 8:12 come back here when you are over 50
and tell us the truth, if we are still breathing anyway.

big up seniors!

Anonymous said...

Grandma & Granpa getting their freak on! LMAO!