Saturday, January 31, 2009

Mdogo Wake Rais Obama Amekamatwa Kenya!

(George Obama nyumbani kwake Nairobi)

Mdogo wake Rais Barack Obama wa Marekani, George Obama, amekamatwa na polisi huko Nairobi baada ya kukutwa na sigara ya bhangi.

Hapa wazungu wanashangaa maana siku hizi kuwa na sigara moja tu ya bhangi si kosa la jinai tena!

Kama mtakumbuka wakati wa uchaguzi Republicans walimlima kweli Rais Obama kwa vile walisema modgo wake anaishi maisha ya dhiki katika eneo duni la Nairobi.

**************************************

By TOM ODULA

NAIROBI, Kenya (AP) -- Kenyan police say the half brother of President Barack Obama has been arrested for possession of marijuana.

Area police chief Joshua Omokulongolo said George Obama was picked up Saturday and was being held at the Huruma police post in the capital. Omokulongolo said officers found one joint of marijuana on him.

George Obama and the president had the same father but barely know each other.

5 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Kwa namna nijuavyo habari katika cable basi hapa washapata cha kuzungumza. Ngoja ni-tune FOX News maana wanaweza hata kutuma mtu aende kumfanyia interview kuona kama hizo bangi anavuta kwa stress za kutojaliwa na kakake. Lakini ukweli ni kwamba anastahili kubeba lawama na kujibu mambo yote afanyayo mwenyewe. Obama ana zaidi ya frustration za kusafisha uchafu kabla hajajua pa kusimama kuanza kusukuma nchi.
Pole kwa George na akitoka awe raia mwema basi. Kakake si aliona haina maana akaiacha, akasoma na sasa anaendeleza historia?!!!!
Asante Chemi na kila la kheri

Anonymous said...

Duh E Bwana eeeh!!!

Anonymous said...

Ameonewa huyo kw vile ni ndugu wa mtu mkubwa! Wamwachie mara moja! Polisi wanataka chochote!

Anonymous said...

chemi unatuchanganya. sigara ya bhangi ndio nini? mimi najua kuna sigara na kuna bhangi ni vitu tofauti ijapokuwa matumizi yake yanafanana kidogo. lakini katika kiswahili hakuna sigara ya bhangi. huo ni msamiati mpya. sema kwa uwazi anavuta bhangi acha kuzunguka mbuyu.

Chemi Che-Mponda said...

Mdau wa 2:05am, Hapa Marekani wakiuta kamoja wanaita Marijuana cigarette. Ikiwa haijasokotwa wanaita mfuko. Naona niliandika kutoka na wanavyoita hapa. Lakini umesema kweli, alikuwa anavuta bhangi. Nilitaka tu kusisitiza kwamba haikuwa mfuko wa bhangi. Bhangi ni bhangi.