Saturday, January 24, 2009

Picha Rasmi ya Rais Barack Obama


Wadau, hii ni picha rasmi (official portrait) ya rais mpya wa Marekani, Barack Hussein Obama.

4 comments:

Anonymous said...

mimi siipendi.
Maoni:
1. naona picha imepigwa kwa mbali kidogo na sura iko pembeni sana mwa frame ya picha!!
2. Kuna nafasi kubwa sana juu ya kichwa cha rais -ni ya nini?
Ushauri:
Wangem-zoom (kumvuta kwa karibu) na awe katikati mwa frame, bendera iwe nyuma yake (nyuma ya bega)

Anonymous said...

Picha iko sawa! kuna vitu viwili vya kuonyesha: Moja, sura yake. Mbili, symbolic image ys Amerika = bendera.

Anonymous said...

is potrait sio potriat samahani lakini kukosoana ni wajibu

Chemi Che-Mponda said...

Asante mdau wa 3:37pm. Typos happen. Nimesahisha.