Saturday, May 03, 2008

Moto wa Pilipili India


Unaweza kuamini kuwa pilipili zinaweza kuungua? Huko India leo magunia ya zaidi ya laki moja na nusu zimeungua kwenye soko kuu ya pilipili. Na tunavyojua wahindi wanavyopenda pilipili hii ni hasara kubwa kwao. Magunia mengi yalikuwa ya pilipili kichaa.
Wakazi wa huko Hyderabad, India wanasema kuwa moshi wa huo moto ni mkali na unasababisha macho na koo ya watu kuwasha na kuchoma.
Poleni sana wakazi wa Hyderabad. Je, ina maana bei ya pilipili itapanda?
**************************************************************************

HYDERABAD, India (AP) -- A fire has broken out at one of India's largest chili markets, burning hundreds of thousands of pounds of chili peppers.
Residents and officials say the burning chili smoke is stinging the eyes and throats of people in Guntur in the southern state of Andhra Pradesh.
One local official says 150,000 bags of chilies have been destroyed across a 50-acre area in Saturday's blaze.
Officials have evacuated nearby residents, and firefighters are still trying to control the flames.
No causalities have been reported. It remains unclear what started the fire.

2 comments:

Anonymous said...

Juma, ongecha piripiri! Bado Kabisa!

Anonymous said...

wahindi watakuwa wamesikitika sana,maana nasikia wanatumia pilipili kwenye mambo ya ushirikina,hata hapa bongo ukiingia duka mhindi utaona kuna pilipili na ndimu zimening'inizwa dukani.hata kwenye magari yao pia.Mungu atusaidie sana