Wednesday, May 14, 2008

Black President!

">

Cheki hao waJamaica wa Kizungu wanavyomshabikia Obama!

6 comments:

Anonymous said...

Huyo mzungu au zeruzeru?

Anonymous said...

Kumbe Jamaica kuna wazunu wazawa!

Anonymous said...

Hao ni wajamaica asilia au na waigaji wanaomshabiki obama?

kwa kutaja mada ingine, nilishangaa kusikia visa vya idadi ya wapigaji kura katika jimbo la west vaginia kwa kutompa obama kura zao ni juu ya obama kuwa mweusi, au mwislamu, au vyote. Obama kwa hawa wazungu wa west virginia katu hataweza kuwafikia juu ya fikra zao bado zimekoma kwa enzi za utumwa. Sera zake anazozikampeni kwao hazina maana maanake mweusi hafai kuongoza mzungu (hususan yule mweusi aliyepewa jina la kati la kiislamu).

Eti Amerika ni mstari wa mbele kwa nchi zinazoendelea, uongo mtupu, ni nchi yenye uchumi ya nguvu ila desturi dhaifu.

(kutoka mkenya anaeishi ng'ambo)

Anonymous said...

Kuna wazungu kibao huko Jamaica. Tena wanaongea kijamaica. Wamezaliwa huko na mababu zao wamaesaliwa huko. Fikiria wahindi Bongo.

Anonymous said...

Athough Americans claim to have democracy and all these things they talk about (being educated, first world country), the way the Americans people especially some of the whites speak about Obama just because of his colour and roots show how backward they really are and live at the Victorian era. One of the example is the tshirts which were sold with a picture of monkey and Obama name. Even keeping on claiming that Obama is Muslim, is being a muslim a crime (he is christian though)? If it is a crime why then did their preseident went to Saudi to beg the Saudi King to reduce the price of oil. The arabs are retaliating by increasing the price of oil and the whole world is suffering because of it.

Anonymous said...

humu wengi ndani mna double stardards mbona hamlalamiki khs watu weusi huku kutompigia kura Clinton, kwa sababu yeye sio mweusi? au kwa sababu sisi hapa ni weusi ndio maana tunaona kuwa Obama anaonewa? ukiangalia pande zote mbili, wote sisi ( Blacks na Whites)ni maracist, kwa sababu tunapigia kura watu wa asili zetu na hatujali nini wanapromise kuleta kama wakichaguliwa.