
Bango Nje ya Kanisa

Wakati wa Chakula cha Mchana


Pastor Jared Mlongecha na Mgeni kutoka Canada

Les Mas wakiimba

Pastor Jared na Mke wake wkikabidhi Vyeti

Baadhi ya waimbaji wa Kikundi cha Yuaja wa IGC


Hema tuliyofanyia Sherehe nje ya Kanisa


Pastor Jared na Mke wake wakifurahia zawadi kutoka kwa Waumini wa Kanisa

Keki ya Kusherekea Miaka 10 ya Kanisa

Pastor Pacific Zagabe akiongoza Maombi

Pastor Jared na Mke wake wakiwa Meza Kuu (High Table)
6 comments:
USHAURI WA BURE!
Naomba uibadilishe jina hii blog yako, uite "GOSPEL TIME" ni ushauri tu maana naoana unafikri wanaotembelea blog yako ni wakristo tu!
Ushapotezea dira kama chama flani kule Tanzania!
bablii wewe acha zako bwana. Kuna ubaya gani kuandika habari za sherehe hapa.
Mimi kama mbongo ninaona raha kuona habari za makanisa za kitanzania Marekani. BWANA ASIFIWE SANA! Muendelee kueneza neno la Bwana.
Kwa jina la Bwana na Mwana na Roho Mtakatifu AMEN. Mambo si ndo hayo! Si party za ovyo zenye pombe uzinzi na sigara.
Mimi ni Muislam kabisa, lakini dada Chemi, ongeza neno! Kwani ukisikia kaenda kwenye neno ndio ina madhara gani, kwani mkeo. Lete mipicha dada, tuone Mungu anavyowabadilisha wanadamu wagumu!
bablii mbaguzi huyu,kwani picha zina ubaya gani? yani nimeamini watu hawapendi kusikia mambo ya Mungu ila ya kishetani ndo yanafagiliwa,Mungu tusaidie sana
Ms Bennett
mh kwa kula sadaka hao..wazungu wanamwaga tu
Post a Comment