Yaani nimechukia kweli kusikia hizi habari za wahamiaji kutoka nchi za Afrika huko Afrika Kusini kunyanyaswa na kuuliwa. Hebu cheki huo ukuta huko Afrika Kusini. Kuna mshenzi kaandika kwa rangi nyekundu nchi za watu wasiotakiwa. Kweli hao watu si binadamu. Wamesahau ni nchi hizo zilizowasaidia kutoka kwenye mikono ya Apartheid! Mwalim Nyerere lazima anajigeuza huko kaburini kwake.
Kwa habariz zaidi someni:
17 comments:
Hiyo picha ya juu kama Rwanda!
Waswahili husema "TENDA WEMA WENDE ZAKO, USINGOJE SHUKURANI"
Eh bwana! Hao kaburu weusi watulipe kwa miaka tuliyowasaidia Tanzania. Tuliwasaidia kila kitu na wengi walikuwa ni wahauni tu! WATULIPE kama hawatutaki kwao!
THE INGRATES NEED TO PAY UP!
unajua mijitu mieusi hatuna akili sasa wao wakitimuliwa hapa england walivyojaa bila makaratasi kufanya kazi za kufuta vibibi na kulala huko huko wangeona sawa hivi kwanini hatufuati wenzetu wazungu wao hawapigani yuko tayari ampendelee mpolish lakini sio mtu mweusi
Nitaenda Bagamoyo niwafanyie hawo washenzi! Dawa ya Bagamoyo ni kali kulikla ya Sangoma zao!
serikali yetu hebu nayo iondowe watu wake huko sauzi.kenya wenzetu wametuma pipa liwachukue na sisi jamani tuwanusuru wenzetu,KIKWETE for good sake hebu nusuru ndugu zetu sauzi.
hawana akili wala fadhila na wamechanganyikiwa..wao kazi hawataki
hawa jamaa natural ni washenzi,kwa hiyo nanyi waganga wa bagamoyo,acheni kutibu na kuwapa kinga hao viongozi wao wa kisauzi,wanapokuja hapo bagamoyo watoleeni nje,tunawajua hata ni akina nani wanaowarogea bagomoyo,mmoja wao akiwa jacob zuma anakuja kuwanga bagamoyo,na wengineo,sasa hiyo ndio msg..msipokee vijisenti vyo nakuawapa dawa zenu
wameniudhi sana hao wajinga
We either have a bright side or darkside,some have both.This is the other side of human beings i have not been able to figure out!!!!!
Muhandisi mwekezaji
Pumbuj4
kolumbasi
ohio
Waacheni wawafukuze wageni, wakishamaliza kufukuza wageni watarudiana wao kwa wao. Mnakumbuka msemo wa marehemu JK Nyerere? 'Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana, mkishaanza kubaguana kuwa huyu Mzanzibari na huyu Mzanzibara, mkishamaliza hapo mtakuja huyu mpemba na huyu Muunguja'
Sasa hiyo dhambi itawashukia na wao, maana sasa wanabagua hawa ni wa SA na hawa si wa SA, wakimaliza watakuja hawa weusi na sie weupe, kisha watamalia hawa waxhosa na sie wazulu, hawa wanaume na sie wanawake!
Its just a matter of time!
It is utter nuinsence,ignorance and a natural stupidity for these south africans.All South africans wherever the are should know how much they owe to almost all fellow Africans.We Tanzanians for example we were segregated,economically dwarfed and even starved during all those years of liberation struggle of south africa.We treated them as brothers and accomodated them during that period.what they are doing to us today is just to remind us that we should not have helped them, they show how they dont deserve it. they should have been left to be rulled by whites forerever Bastards!! any remnants of them in Tanzania should be immediately kicked out
Tulikula YANGA kwa ajili ya hao washenzi! Walikuwa wahuni kupindukia walivyokuwa Bongo! Walistahili kuendelea kutawaliwa na Mzungu!
mchaka mchaka-chinja! ukimwona kaburu-mlinde! ukimwona chaka zulu -CHINJA! You black southafricans SHAME ON YOU!
Hata wimbo wa taifa tumewapa bure kwani hawawezi kitu woa ni marungu tu.
shukuruni Tanzania tumemwaga damu zetu kwa ajili yenu wapumbavu nyie!
Nadhani ni wakati muafaka kwa waandishi mahiri Watanzania kama Godfrey Mwakikagile, Prof Haroub Othmani, Brig. Hashim Mbita, Jenerali Ulimwengu n.k wakae chini na kuandiaka historia ya mchango wa nchi zilizokuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi za kusini mwa afrika yaani kuanzia Afrika ya Kusini, Namibia, Angola,Zimbabwe Mozambique zilivyonufaika na mchango wa Tanzania katika kuleta ukombozi wa nchi hizo.
Inasikitika kuona hata Nelson Mandela ktk kitabu cha 'Long Walk to Freedom' kina habari kiduchu kuhusu mchango wa Tanzania. Inabidi pia Mzee Madiba aandike 'edition/Toleo' jipya la 2008 la kitabu chake 'Long Walk to Freedom' na humo atie habari za mchango wa nchi za kiafrika hususan Tanzania na Zambia ktk kufanikisha kuuondoa ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini.
Lakini pia ni changamoto kwa waandishi/wasomi wa ki-Tanzania waandike hii historia muhimu ndugu zetu wa kusini mwa Afrika waelewe hali iliyochangia wao kupata ukombozi toka kwa weupe wachache na kuutimua ukoloni mkongwe wa kireno huko Mozanbique na Angola pia.
Mdau
SeniorJunior
London.
Kaburu yuko wapi tumtandikex2 anajidai boss, boss wa wapix2 analia oooo analia ooo
Umoooo umoja wa Mataifa Zunguuuu zungumza ya Kusinix2
Ndugu zetu OO wanateswa wanateswa OOOO wanateswa vibaya sana.....
Nikikumbuka jinsi bara zima la Africa lilivyo kuwa mobilised, Viongozi, wake/waume na watoto kulilia uhuru wa Afrika ya Kusini. Yaani sijui hata niandike nini machozi yananilengalenga kwa hasira. Nyerere angekuwepo leo
ange-faint after all that Sacrifice/EFFORT! What a shame!!!
Shame shame na huyu Kikwete walivyokutana na Mbeki huko Arusha juzi walizungumza nini? Mozambiki, Kenya na Zimbabwe wametuma usafiri wa kuwachukua watu wao toka huko. Watanzania je? mna habari zozote? Au wataomba lifti?
Post a Comment