(Kushoto, Dr. Mwamoyo Hamza, Kati, Lady Diana Kibodya, kulia, Chemi Che-Mponda)
Wikiendi hii tulisherekea 50th Birthday, ya Mama Diane Kibodya (Lady Diana), huko Springfield, Massachusetts. Ndugu na marafiki walitoka sehemu mbalimbali kusherekea.
Kwa bahati sisi watatu tuliowahi fanya kazi Daily News (TSN) na kusoma Tanzania School of Journalism (TSJ) (miaka mbalimbali) tulikutana na kupiga picha ya kumbukumbu. Mimi nilikuwa chipukizi kwa Dr. Mwamoyo na Lady Diana lakini walinifundisha mengi. Nawashukuru.
*******************************************************************
Kibodya Family watoa Shukurani
From an e-mail message 6/18/07
Dear Friends:
On behalf of Lady D, we the Kibodyas give many thanks to you and your family for coming to join us in Lady D 50Th Birthday Party. We could not do it alone, definitely your help has made this event "unique" in many ways. Thank you for your help, thanks for your time and resources. May The Almighty God reward you well.. Amen!
For some of you who could not attend because of other obligations, we know deeply in our hearts that you had good intentions and may The Almighty Lord reward you well.
All of you have a permanent place in our hearts for your kindly words, gifts, helping in cooking, taking pictures and video camera as well as for those tireless, the most talented DJ's who came all out to showcase their skills! (Paul Massudi, Samora and Rich Maka) Without forgetting our flamboyant outstanding MC "Mzee wa Ngwasuma!" Emmanuel Bandawe! What a talent!
I am sure you saw the dance! If you missed asked somebody! Our daughter Hawa and her 3 friends gave us an African "high energy" dance and we give special thanks our sisters and brothers from South Africa who did acapella songs and showed us how the banqanga dance is performed.
Thanks to all of you who travel from far and for those who live near and special thanks to "Father Chui" for your hospitality my family and I know we can count on you! This Email cannot be enough to thanks each and every individual but we chose to use as a mean of quicker communication and I have started to call each one of you to thank you personally!
Shukran!
Isaac A. Kibodya, Esq.,
23 comments:
chemi u r pulling our legs, au i need to see my optician, huyu lady D cannot b 50, she looks a lot younger - i cannot wait for july (u get me)
jack, God has blessed Lady Diana. Yes, she is 50! I hope I look that great as well when the time comes! (yeah, I got you)
Bandawe mzee hukosi minuso kutoka Philly mpaka Springfield lakini naamini kilicho kupeleka ni kukutana na waswahili wenzako Isaack Kibodya na probably Othman Mwanilelo.
Dada che kumbe wewe ni mlibwanji au ni wakunyumba? nitafurahi kujua
asante sana kwa taalifa zako nyingi unazotupatia endelea unatufundisha mengi.
Wewe Chemi umekaa kimahaba sana. Nakutamani kweli kweli.
anonymous wa 9:35am, mimi ni wakunyumba.
We anoni wa 9:55, shauri yako!!
CHEMI wakunyumba , what does that mean
magdalena thanks. silly me ,i thought it meant housewife,it really made me wonder
mmh anti Cheni yapendeza lakini, je unaonaje ukitupa nawe japo kiduchu siri ya mafanikio yako jamani eeh
Wakunyumba inamaani ni mngoni. na nadhani wangoni wanajulikana kwa shughuli gani. Wanakata mauno sana. ndio maana namtamani huyu chemi kwani ninajua atakuwa ananitemesha mate dirishani halafu ananirudisha kwenye kitanda kila siku. mmmh toto nshuli yeye
Chemi mlevi wa Konyagi.
wewe unayemtamani chemi, una umri gani? Kama wewe umeshakomaa haya basi. "go ahead", Lakini kama wewe ni bado brazamen, "under 28" mh! tenga hilo utalibebaje mdogo wangu?
Huyu chalii vipi anatamani wanawake kwenye picha,kweli ni chizi.Kondakta wa daladal Dar siku hizi wanawaita wamama kama hawa kontena.Wakimwona mtu mnono kama huyu suka anaambia chapa mwendo chalii hilo ni kontena
Liwe Kontena, kibanda, ghorofa wewe inakuuma nini? Kipenda roho hula nyama mbichi atii. Sasa wewe unataka niwe na fido dido? Chemi mbona kimya? Au unajifanya unisikii sio, Poa tuu mimi nasubiri mpaka kieleweke.
LMAO! (Laughing My Ass Off!)
Jamani asanteni, kwa hiyo nikiwa Dar na nasikia watu wanazungumzia 'kontena' nitaelewa.
Anonymous wa 10:50am ni kweli sisi wanawake wenye asili ya kingoni tuna sifa hiyo.
Magdelena, ni kweli Lady Di ni mzuri ajabu kwa miaka yake, hata hapa USA. Akisimama na mzungu mwenye age hiyo, utadhani Lady Di ni mdogo kabisa.
Chemi eeeeh, ushaolewa weye? Mbona unanifanyia mti manyongo? Tafadhali kama nilivyosema nilishaonja asali sasa nipo mbioni kutengeneza mzinga. Wangoni ni hatari utadhani hakuna mfupa kiunoni. Hapa mpaka kieleweke. Anon 5:13 chemi atabebwa tuu nimeshaanza kwenda gym kubeba mavyuma kama nitashindwa baada ya hapo basi nitatumia fork lift hata crane ikiwezekana. Chemi weka picha nyingine basi ili unipooze moyo wangu ambao upo kwenye moto.
Chemi wewe ni mngoni au Myao (wa Tunduru)? Makabila kama Yao, Ndendeule,Nyasa,Mwera,Makua na Matengo (na kabila moja la Iringa nimelisahau jina) ndiyo ambayo tangu enzi (kabla ya 1820s wakati wangoni walipofika Tanganyika) ndiyoyamekuwa yakitumia jina "Che" (kabla ya majina yao).
Lakini bado sijakutana wala kusikia wangoni na ni kima "che". Lakini haina maana napinga au vipi ila nataka kujua tu,maana "juu ya kila mwenye kujua yupo ajuaye zaidi".
Anonymous wa 4:41PM, mimi ni Mmanda.
We mnanda umependwa na huyu kijana,tafadhali mpe anachokitaka.Sana sana kishakuvua chupi usiku wa kwanza wa pili atakua keshakuchoka ile mbaya na ataanza visingizio ooh huyu dada anakojoa kitandani,ooh huyu dada ana kisonono na mambo mengine kibao kumbe kesha kata kiu yake na anaona aibu ya kutoka na wewe na unene na uzee wako huo
Kaa mbali na hawa watoto.
Ina maana Che Guavara naye ni miongoni mwa makabila hayo yanayotumia "che"? au nimeenda mbali sana?
Chemi nusu ni m-marekani mweusi (mama lake) na nusu ni m-bongo(baba-lake). Ingawa kabila yake ya kibongo siijui. Tukienda ki-DNA lazima atakuwa na chembe za ki-bongo, na "probably" ki-west-afrika somewhere.
Anonymous wa 8:18am, umekosea. Mama yangu anatoka Jamaica. Baba yangu ni Mmanda. Yeah, ningependa nifanye hiyo DNA testi nijue kabisa kama nina damu ya West Africa wa wapi (kwa upande wa mama), mama ana hisi kuwa huenda ni Sierra Leone japo babu alisema ni Nigeria.
Ucheki hapo:
http://dnaconsultants.com/Detailed/9.html
http://www.uml.edu/roots/
Naona nitandika in detail mambo ya kutafuta Roots zako, kani kwenye hii blogu nia yangu ilikuwa kuzungumzia watu wanaokataa watoto wao.
Nina uchungu na hii suala, maana nilivyokuwa sekondari kuna msichana alikuwa natembea na mume wamtu, kamtia mimba halafu kasema mtoto si wake. Yule msichana alijiua. Hiyo ni mfano moja nina mifano mingi.
Dada Chemi abari za lelu? za magono?
Post a Comment