Sunday, November 04, 2007

Apiga Maiti Kanisani! Mwingine afanya ngono na maiti!

Timothy Cleary

Leo nimesikia mpya! Kwa kawaida watu wanaogopa maiati. Lakini kichaa fulani wa kizungu aliingia kwenye kanisa ambapo marehemu alikuwa anaagwa na kuanza kumpiga mangumi. Jeneza ilikuwa wazi kusudi waombolezaji waweze kumwona kwa mara ya mwisho. Watu waliokuwa huko kanisani kumwombea marehemu waliita polisi huko Harvest Baptist Church.

Polisi walimtambua kichaa kama, Timothy Cleary, wa Apopka, Florida karibu na Orlando. Haijaeleweka sababu ya kupiga maiti lakini jaji ameamuru apime akili.

Na huko Teaneck, New Jersey kijana wa miaka 24 amekamatwa kwa kufanya ngono na maiti ya Bi Kizee wa miaka 92!

Polisi wanasema kuwa huyo kijana ni Anthony Merino na ni mfanyakazi wa hospitali ya Holy Name alipofia huyo bi kizee. Wanasema amefanya kazi pale siku 14 tu na alikuwa mfanyakazi wa kulipwa per diem, si mfanyakazi wa kudumu. Aliingia kwenye mortuary ya hospitali ndipo alipovamia maiti.

Baada ya maovu yake kugundulika alikamtwa na polisi na nudgu wa marehemu waliaarifiwa.

Merino yuko jela kwa sasa. Jaji ameamuru apimwe akili. Dhamana yake imepangwa dola $400,000. Akipatikana na hatia anaweza kufungwa gerezani kwa miaka 10.

Kwa habari zaidi soma:

Aliypeiga maiti:

http://www.shortnews.com/start.cfm?id=66217


Aliyefanya ngono na maiti:

http://www.local6.com/news/14466884/detail.html


2 comments:

Anonymous said...

DA CHEMI HIYO STORY YA PILI INATISHA. JAMAA ANAFANYA NGONO NA MAITI. KWANZA NI BARIDI HALAFU NZEE! HUYO YUKOJE? AFUNGWE KAMA MIAKA 60 AKITOKA HATAKUWA NA HAMU TENA.

Anonymous said...

Kufanya ngono na maiti siyo kitu cha ajabu katika jamii za magharibi.