Tuesday, November 06, 2007

MaChifu wa WaNgoni

Hii picha ilipigwa kwenye 1890's. Ni MaChifu wa waNgoni German East Africa. Sijui kama ni kweli lakini eti wote walinyongwa na waJerumani? Ninaomba sana kama kuna mtu anayejua
majina ya hao maChifu anijulishe. Asanteni.

6 comments:

Anonymous said...

Hao machifu wote walinyongwa na Mjerumani shauri ya vita vya Maji Maji. Aliyeponea ni Chifu Songea kwa sababu alijisuluhisha. Baada aliona kma watu hawatamsamehe na aliomba anyongwe.

Anonymous said...

Picha ilipigwa kwenye 1905.

Anonymous said...

.....WAISLAM MSIONE SISI WAKRISTO TUMENYAMAZA MKAFIKIRI HATUJUI KUONGEA..

Najua hii michuzi unaweza usiitoe lakini naamini kwa wewe pekee kuisoma lazima utamsimlia rafiki yako na meseji inakuwa sendi ila nakusii uitoe tu.Si udini ila waislamu mnatuboa na mnatupeleka siko.Nyie ngoja tu.

Kitendo cha waislam kuanza kuwashambulia wakristo mchana kweupe msifikiri ni kizuri.Na kamwe hatuwaogopi.Mimi nasubiri tu la mgambo lilie nianze kuwapunguza mmoja mmoja.Sasa mmekuja na hoja ya tanzania kuvunja uhusiano na vatican.Mara mnapinga ziara ya papa.Nani kawambia Tanzania ni ya waislam????Kwani mmeambiwa papa anakuja kuswali msikitini??kama humtaki papa wewe lala siku ukisikia yuko Tanzania.Yani mnataka kusema kuwa sisi wakristo tukitaka papa aje kututembelea nyie hamtaki,who are you????

Ubalozi Vatican ulikuwepo muda mrefu hapa Tanzania naamini hata wewe unaejiita mwislam ukiwa hata madrasa upajui.Viongozi wenu akina marehemu muft bin Jumaa bin Hemed bin Jumaa mbona wao hawakupinga hili unataka kusema kuwa wao hawakuwa waislamu??acheni njaa zenu hapa.

Mmeanza kuwakamata wakristo eti wanatishia amani.Kama Mheshimiwa Mtikila.Juzi tu viongozi wenu wametishia kuua na kukata vichwa vya wakristo na hawakukamata.Nawanukuu wachache...
1:matamshi ya Sheikh Khalifa Khamis na Ponda Issa Ponda, kuwa watamkata kichwa Mchungaji Mtikila, kwa kutoa maoni yake juu ya Mahakama ya Kadhi.
2:Sheikh Yahya Hussein, ambaye amewahi kutamka kuwa bila Mahakama ya Kadhi, damu itamwagika. 3:kauli ya Sheikh Mkuu, Mufti Shaaban Simba, aliyoitoa akisema wao wasilaumiwe, na kwamba watachukua hatua za kimya kimya dhidi ya Mchungaji Mtikila.

Hivi kati ya hao waislamu na mtikila nani anaetishia AMANI???Mbona hawakamatwi???KAMA MNATAKA MAHAKAMA YA KADHI AMIENI IRAQ,SAUDIA AU AFGHANISTAN AU IRAN.Acheni mambo yenu ya ajabu hapa.
Na msifikiri wakristo tunawaogopa,No tunawasubiri tu mzidi.Once you cross the line you are dead.
Daud Musa

Anonymous said...

apo kuna zimanimoto,chaburuma,mpambalioto,zamchaya,magoha,zuberi wengine nimewasahau

Anonymous said...

Daud Musa una akili kweli wewe ?
kama unahitajikutibiwa tutakupeleka mirembe dodoma,maaana sasa unachanganya mambo ,unatakakuuwa waislam .america taifa kubwa duniani imeshindwa na sasa kwao america ndio waislamu ndio inaongoza kwa idadi ya watu kusilimu .

Anonymous said...

chemi kuhusu majina ya hao machifu usipate tabu.Siku moja jitoe fahamu safiri hadi mjini Songea halafu tembelea"Mashujaa square" kuna sanamu zao na majia yao yooote.Ukiwa na muda wa kutosha waweza kumtembelea na mzee Mbano yuko matogoro nyuma ya chuo cha ualimu,ingawa natumaini atakua ni mzee sasa lakini ana kumbukumbu nzuri sana kuhusu machifu hawa.Utakuwa umepata habari sahihi pia ukitembelea eneo ambalo walinyongewa wazee hawa ni karibu tu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,natumaini hata ile minyororo bado ipo kwani ilikuwa ya "kijeremani" hasaNakutakia safari njema...........ludewa hapa