Saturday, November 17, 2007

Vituko Marekani

Mona Lisa alihamia Marekani. Aliona kusudi awe na maisha bora abadilishe rangi ya nywele, atia silicone kwenye matiti na midomo, pua achonge, na macho yakazwe!

Niliwahi kuambiwa ukila kwe MChina huna uhakika unakula nini.


DOH! Huyo njemba alkikuwa na haraka kweli! Badala ya kuwahi alichelewa sana na kesi ya mahakama juu!

1 comment:

Anonymous said...

Wabongo wakienda US wanarudi tofauti kabisa. Wanawake wanakuwa na midomo wanacha kuvaa nguo za heshima wanaume wanakuwa gengste.