Saturday, November 24, 2007

Rappers wamtukana Dr. Jan AdamsRappers hawana dogo. Wametoa wimbo wa kumtukana Dr. Jan Adams aliyemfanyia mama yake mzazi Kanye West, upasuaji wa urembo na kusababisha kifo chake.

- Dr. Jan Adams alikuwa na TV show kwenye Discovery Channel, Plastic Surgery Before & After
- Alikuwa siyo Board Certified
- Oprah amekaa kimya. Alimwalika kwenye show yake kama mtalaam wa upasuaji wa urembo kumbe jamaa ni feki! Watu wengi waliamini 'utalaamu' wake kwa vile alikuwa kwenye Oprah.

http://www.drjanadams.com/

Cheki website ya jamaa, mambo mengi eti yako "down for maintenance" LOL!

Kinachonisikitisha katika hii kesi ni kuwa huyo jamaa ni mweusi, alikuwa anaonekana kama mtaalamu wa mambo ya plastic surgery. Kumbe jamaa tapeli!

3 comments:

Anonymous said...

taratibu zikoje huko kwa mtu kuanzisha kliniki yoyote, inaonekana hakuna msajili wa mambo hayo!?

Anonymous said...

Nilimsikiliza Dr. Sunjay Gupta " CNN Chief medical correspondent" and he stipulated clearly that it is not mandatory to be board certified in order to practice. So to be fair to him he hasn't violate the law . Kuhusu suala la mama yake Kanye , kuna risk nyingi sana katika hizi plastic surgery besides that woman was 58 years old , so one has to put under consideration the aging process.

Anonymous said...

Mimi ningedhani hao matajiri wangetafuta huduma kutoka most qualified. Huyo jamaa hawa na qualifications nzuri!