Wednesday, November 28, 2007

Duniani wawili wawili!

Mwigizaji maarufu wa Namibia marehemu 'N!xau' katika sinema ya The Gods Must be Crazy!


Huyo Usher kafanana sana na yule mwigizaji mkuu wa sinema ya The Gods Must be Crazy! Utadhani ndugu yake! Ama kweli duniani wawili wawili!

3 comments:

Anonymous said...

Da Chemi asili ya waniga ni Afrika. Lazima watafanana na waafrika.

Anonymous said...

Loooh! ama kweli asiyejua maana haambiwi maana. Hivi kweli wewe anony hapo juu una akili timamu wewe?

Anonymous said...

Jamani mbona huyo anafanana na kikwete alivyokuwa kijana?tafuta picha zake ulinganishe wamefanana kishenzi.