Tuesday, November 27, 2007

Mhindi aingia benki Florida na kudai tiketi ya kwenda India!

DUH! Habari kutoka Orlando, Florida zinasema kuwa mhindi aliingia kwenye tawi la Wachovia bank na kudai tiketi ya ndege kwenda India. Alikaa kwenye kiti na kusema kuwa haondoki mpaka apate hiyo tiketi!

Wazungu wasiojua tofauti katia ya mhindi au mwarabu waliita polisi wakidhani katumwa na Al Qaeda. Alikaa mle masaa mawili akisema anataka kwenda India.

Polisi walituma SWAT team (FFU)! Mtu mwenyewe hata hakuwa na silaha alikaa kwenye kiti na kudaia tiketi ya ndege tu. Huyo baba angekufa bure! SWAT walimchukua na anashikiliwa na polisi!

******************************************************************************

Man Demanding Plane Ticket To India Forces Bank Evacuation In Orlando

November 27, 2007

ORLANDO, Fla. -- An Orlando bank was evacuated Tuesday when an East Indian man walked into a bank and demanded a plane ticket to India, according to the Orange County Sheriff's Office.

Investigators said bank workers inside the Wachovia Bank located on Sand Lake Road in Orlando noticed the man acting suspiciously and called 911.

When officers arrived, the man refused to leave the bank and said "he wanted to go to India," Orange County sheriff's representative Jim Solomons said.

A bank worker who flagged down an officer said the man sat in a chair and did not moved after entering the building. Witnesses said they saw the man praying inside the bank.

A SWAT team took the man into custody after a two-hour standoff at the building.

There were no injuries in connection with the standoff.

A lane of traffic near Orange Blossom Trail and Sand Lake was closed over the incident.

http://www.local6.com/news/14704846/detail.html

3 comments:

Anonymous said...

Hawa wamarekani midebwedo tu, ndio maana wamehamishia jeshi lao Iraq nchi ambayo ni ndogo zaidi ya mara 10 kuliko Marekani. Yaani pale Iraq kwa uwiano wa ukubwa wa nchi, idadi ya watu, nguvu za teknolojia ya kijeshi nk, Marekani ilipaswa kutumia chini ya asilimia nane (8%) ya jeshi lake kupiga Iraki, lakini kwa udebwedo walio nao hao wamarekani (ambao wengi ni mashoga), wamepeleka jeshi kubwa ajabu na bado wanapata kibano hadi leo. Midebwedo! Si ajabu ukipiga hiyo simu ya dharura ukisema umeona buibui ndai kwako wanaweza wakaja na machine gun! Midebwedo kabisa!

Anonymous said...

maisha ya Marekani si mchezo!mie huwa nashangaa watu wanavopeana stori za fix eti hooh,Amerika kuku tupu,ndio mjuage sasa!

Anonymous said...

Naona jamaa alisema bora awe Deported. Na akikaa jela ana uhakika wa kula na sehemu ya kulala.