Thursday, November 15, 2007

Kideo cha marehemu Justin KalikaweKibira Films wametoa video ya marehemu Justin Kalikawe. Alichangia muziki katika sinema ya Bongoland (2003). Kalikawe alikuwa mwimba reggae maarufu wa Bongo na alipata tuzo kadhaa.

http://bongoland2.blogspot.com/2007_11_13_archive.html

Kwa habari zaidi za maisha ya marehemu Kalikawe soma:

http://64.233.169.104/search?q=cache:gAL0FmkRiCkJ:home.ripway.com/2004-8/156144/BURIANIJUSTIN

2 comments:

Anonymous said...

Sijui kwa nini hao waimba reggae wote wanaaga dunia mapema.

Peter Tosh, Bob Marley, Lucky Dube, Kalikawe.

Anonymous said...

nna shida mno na cd za kalikawe, nina tape zake zipatazo 8.